Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Huo mdahalo unaweza ukadhalilisha uisilamu pia, hofu ya nini.

Ngoja nisubirie huo mtanange.

Wakristo hawawezi kuwa na hoja za kuwazidi Waislamu juu ya hilo.

Ila sisi Waislamu huwa hatuungi sana midahalo hiyo sababu ya uchache wa elimu wa wahusika, ambayo hupelekea Allah na Mtume wake wakatukanwa.
 
YESU ni Mungu ,Yesu anatuma manabii na mitume

Usimuweke daraja moja na marehemu Muhammad

Wapi alisema Yesu yeye ni mungu ?

Hili andiko limeandikwa na nani katika Biblia ? Kwanini mnamzulia uongo mtume wa Allah ?

Yesu hajawahi kuwa Mungu, hawezi kuwa Mungu na hatokuwa Mungu.
 
Wapi wameandika wanaenda kudhalilisha ukristo apo Muhammad Vs jesus Kwa upande wa uislam wote hawa ni mitume na katika moja ya nguzo ya Imani kwenye uislam ni kuamini mitume wote kwahiyo usitegemee atatukanwa yesu/ ISSA wao watawachambua hao mitume kulingana na kitabu chao(quaran tukufu) basi
 
Kitabu Chao hakimtambui Yesu kinamtambua Issa, ila wanalazimisha Issa ndio Yesu ili kupotosha

Ndio maana hapo hawajaandika

Issa vs Muhammad,wameandika Jesus vs Muhammad,

Wangeandika Issa vs Muhammad wala watu wasingeona uchochez

Kwani jina Yesu ni la asili ya Lugha gani ?

Tuambie alipozaliwa kwa lugha yao aliitwa nani ?
 
Kwenye Quran hakuna Yesu Kuna issa ni watu wawili tofauti kabisa ,wenye historia tofauti

Kwanini unakuwa mjinga kiasi hiki ?

Issa unajua ni lugha gani kiasili na Yesu ni lugha gani ?

Yesu kaziliwa wapi na Issa kazaliwa wapi ? Mama yake Yesu anaitwa nani na mama yake Issa anaitwa nani ?
 
Sikweli tumesoma lugha tunajua ,

YESU kwa kiarabu ni Yasu na maana ni moja

Issa Haina maana moja na Yesu

Mngedili na issa ambaye ni tofauti na Yesu

Hakuna Kiarabu hicho kijana. Yesu ni Issa, ukisoma historia huchomoki hapo.
 
Walivyo mambumbu wanadhani Yesu ni wa kwao peke yao! Kumbe kwenye uislamu kwetu yupo, ni miongoni mwa mitume ya Allah.

Kama wao wanaona Masihi Issa mwana wa Mariam ni umoja katika utatu au mtoto wa Mungu, kwetu sisi uislamu ni matusi.

Hivyo tunatumia hiyo njia kuelimisha jamii ya kiislamu ifahamu hivyo!

Kama wao wana ushahidi wa juu wanachokisema tukutane kwa Mkapa. Waje kwa mdahalo!
Huyo masihi Issa sio Yesu, Waislamu Kwan mna matatizo gn ya uelewa?
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Kwanini unaweweseka kabla mambo hayo hayajayokea? Na kwanini unahisi ukristo utadhalilika?

By the way, Quran imetokana na Biblia. Mambo mengi yaliyo kwenye Quran yametoka kwenye Biblia na siyo other way around. Sasa kwanini unaogopa mapema hivi.??
 
Kwanini unaweweseka kabla mambo hayo hayajayokea? Na kwanini unahisi ukristo utadhalilika?

By the way, Quran imetokana na Biblia. Mambo mengi yaliyo kwenye Quran yametoka kwenye Biblia na siyo other way around. Sasa kwanini unaogopa mapema hivi.??
Waislamu c mnasema kuran imeshushwa kutoka mbinguni, inakuwaje unasema kuran imetokana na Biblia ambayo mnaisema imeandikwa na watu
 
Ule siyo mdahalo bali ni kongamano na wala halina sura hiyo uliyoijengea picha akilini. Pale ni shekhe anasimama na kutoa mawaidha yake kisha watapata bahati ya kuuliza maswali wenye maswali yao na Sheikh atayajibu kwisha. Nyongeza ya mengine ni yale ya kawaida tu. Ujue kuna watu akili zimejengeka kwamba siku hiyo kutakuwa na dizaini ya mikusanyiko ya kina mazinge na ndacha, sivyo hivyo waungwana
 
1000006372.jpg
 
Sisi ambao hatuna dini mkipigana tunawalia wake zenu nyie mtakuwa mshakufaa
 
Mleta Mada Ndo Kapandisha Kisukari Na Presha Juu huyu Anaonekana Ana Kanisa Anaona Isije Mdahalo UkawasanuA Kondoo Wakakimbia Zizini.
Hata wewe unajiona mjanja wakat dini ya mudi uongo tuu
 
Ndugu zangu Wakristo wa JF, ninyi mnasemaga hapa Mungu Wa Wakristo hapiganiwi,, hujipigania mwenyewe. Hofu yenu ktk hili inatoka Wapii!??

Acheni tuone kitacho jiri.
 
Back
Top Bottom