Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

yesu hapiganiwi bali anatupigania sisi, yeye ni mwelevu sana hivyo mtoa post unapaswa kuwaacha wafanye jambo lao hao watu wasiojua walitendalo
 
Huo mdaharo uitwe Muhammad vs mwamposa

YESU KRISTO na Muhammad wapi na wapi jamani

Yaan KRISTO akae meza moja na mbakaji Muhammad aliyebaka kitoto cha miaka 6 kiaisha

Kweli jaman? Hii si sawa hata kidogo
Halafu mnasema mnatukanwa? Hayo sio matusi?
 
yesu hapiganiwi bali anatupigania sisi, yeye ni mwelevu sana hivyo mtoa post unapaswa kuwaacha wafanye jambo lao hao watu wasiojua walitendalo
Hichohicho ndio mtoa posti alitakiwa kufanya mtoa mada.

Picha linaanza kakosea kunukuhu, kaandika jina la mdahalo ni Jesus vs Mohammad, kana kwamba kutakuwa na battle,

Wakati jina la mdahalo ni Jesus and Muhammad
Hakuna battle yoyote hapo kutaka kuzua taharuki
 
Yani wanakurupuka hao.
Wanahamaki,
Wakristilo wa siku hizi hawajiamini, wanashangaza

Mdahalo unamzungumzia Yesu kulingana na uislamu, ila wanajibebesha bango la kudhani mdahalo unaenda kuwaongelea wao na imani yao, hawa watu hawana exposure

Yani mdahalo wala ulikuwa haudili na imani yao, kusikia jina Yesu wamepaparika wandhani Yesu ni wao peke yao wamemuwekea copyright kumbe ni wa wote
Walivyo mambumbu wanadhani Yesu ni wa kwao peke yao! Kumbe kwenye uislamu kwetu yupo, ni miongoni mwa mitume ya Allah.

Kama wao wanaona Masihi Issa mwana wa Mariam ni umoja katika utatu au mtoto wa Mungu, kwetu sisi uislamu ni matusi.

Hivyo tunatumia hiyo njia kuelimisha jamii ya kiislamu ifahamu hivyo!

Kama wao wana ushahidi wa juu wanachokisema tukutane kwa Mkapa. Waje kwa mdahalo!
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Mungu wa Kweli upigana vita vyake mwenyewe. Mungu wa Baali upiganiwa na watu!
 
YESU wa Biblia tofauti na huyo wenu anayeitwq Issa ,

Kwanini mnapenda kujipendekeza kwa Yesu ?
Mbona majini ni tofauti na malaika ila mnalazimisha majini kuwa ndio malaika waliyoasi lakini mnakataa Yesu kuwa sio Issa? Ukiangalia sifa za majini haziendani na asili ya malaika.

Yani mkristo anakubali kuwa hawa majini wana jinsia wapo wa kike na kiume, hufanya ngono ,huzaa na wanakula kitu ambacho sidhani kama malaika kiasili wako hivyo ila bado mkristo anasema hao majini ndio wale malaika waliyoasi.
 
Uzuri wa wakristo huwa hawahangaiki na mambo madogo madogo.
Mambo madogo wakati mnatoa matusi na dhihaka juu ya imani za watu wengine!

Acheni unafiki ninyi!

Laiti mngelikuwa mnaiishu manachojaribu kujivisha nacho mfano mzuri na wa wazi ungelikuwa ni hapa Jf.

Lakini imani yenu ipo wapi?
Imani yenu ni kutusi dini za wengine? Imani yenu ni kutusi mitume ya dini nyengine! Imani yenu ni kutusi wake za mitume wa wengine?

Huu ndiyo upendo na amani mnayofundishwa makinisani mwenu na kujivisha hilo joho!

Mungu yupo na Mungu si mnafiki! Ataenda kuhukumu baina ya haya tunayoyatenda.
 
Kamala Harris alimdhalilisha Yesu Kristo kwenye kampeni zake, matokeo yake akaukosa Urais.
Kwa Hiyo Trump Alimsifia Yesu Akashinda Urais.Kumbe kushinda Urais ni Simple kiasi Hicho?Wapi Chadema Urais uko Kwa Yesu Huku!
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Makafiri mtashinda kwa jina la bwana haliyehai .
 
Wagalatia waoga sana wa dini yao

Sababu kubwa ni dini ya kuzusha

Papa akiamua kuruhusu kufumuliwa malinda basi ndio imepita
 
Povu lote hilo mkuu. Kila siku mnataka mkaliwe kimya tu,mkijibiwa kidogo inawauma weeee
Mambo madogo wakati mnatoa matusi na dhihaka juu ya imani za watu wengine!

Acheni unafiki ninyi!

Laiti mngelikuwa mnaiishu manachojaribu kujivisha nacho mfano mzuri na wa wazi ungelikuwa ni hapa Jf.

Lakini imani yenu ipo wapi?
Imani yenu ni kutusi dini za wengine? Imani yenu ni kutusi mitume ya dini nyengine! Imani yenu ni kutusi wake za mitume wa wengine?

Huu ndiyo upendo na amani mnayofundishwa makinisani mwenu na kujivisha hilo joho!

Mungu yupo na Mungu si mnafiki! Ataenda kuhukumu baina ya haya tunayoyatenda.
 
Uzuri wa sisi wakristo hatuna mambo mengi, watafanya huo upumbavu wao kwa amani na wala hutosikia kauli yoyote kutoka kwetu.

Ila huo upuuzi ungeandaliwa na Wakristo ungeshangaa magaidi kelele zao.
Baina ya waislamu na wakristo ni wapi wanaoongoza kwa kutoa malalamiko hata mfano mzuri tuchukue humu Jf.

Uzi/Nyuzi zipi ni nyingi zikiongelea kwa mlengo wa kidini kwa dini moja kulalamikia dini nyengine kama si ukristo?

Mbona mnapenda kujivisha wema hali ya kuwa hamna?
 
Back
Top Bottom