Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Attachments

  • Screenshot_20241229-220647.jpg
    Screenshot_20241229-220647.jpg
    26.2 KB · Views: 1
Tusiandikie mate na wino upo, hii hapa kwenye standard arabic ambayo ndio classical arabic Yesu ni Isa hiyo Yasu ni lahaja za kiarabu, ila standard arabic ni Isa
 
Attachments

  • Screenshot_20241229-220131.jpg
    Screenshot_20241229-220131.jpg
    301.7 KB · Views: 2
Hiyo Yasu ni mnalazimisha nyinyi, ila kiarabu kabisa Yesu ni Isa yani tena inaandikwa عيس. Tena inarandana vyema na Jesus ya kingereza. Yasu hiyo kwa sisi tuliosoma koarabu ni jina jipya kabisa
Humu wote sio mamburura aisee,

Tafsir ya jina la Yeshua Kiebrania katika Kiingereza itakuwa ni Jesus. Jina la Yesu halikuchaguliwa kiholela na wazazi wake, lakini yeye alipata jina lake moja kwa moja kutoka kwa Mungu (Mathayo 1:21 , Luka 1:31) kwa sababu ya maana ya jina lake na nani alilileta, basi leo hii tunaelewa madhumuni ya Yesu kuzaliwa na kuja hapa duniani (Mathayo 1:21 ).
Katika utamaduni na jadi ya Kiarabu. Jina la Yesu ni Yasu na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislam. Na hata leo, jina la Yasu linatumiwa na zaidi ya 99.99% ya Wakristo wote wa Kiarabu. Tembea katika kanisa lolote la Kiarabu huto sikia wanatumia jina la Isa, Sikiliza matangazo ya Wakristo wa Kiarabu katika Radio na Televisheni (za Kiarabu) huto sikiwa Mkristo anatumia jina la Isa, bali wanatumia jina la Yasu. Matangazo yote ya Kikristo katika Uarabu wanatumia jina la Yasu. Kamwe huto ona jina la Isa kama lilivyo kwenye Koran ya Waislamu.
Katika jadi ya Kiarabu na utoaji wa tafsiri wa jina, jina sahihi la Kiebrania (Yeshua) ni Yasu katika Kiarabu. Kila uchaguzi wa tafsiri ya jina la kigeni katika lugha tofauti ni uvumbuzi wa binadamu.
Kiisimu ipo wazi jinsi jina la Yeshua Kiebrania lilivyo tafsiriwa na kuwa Yesu Kiswahili na Jesus Kiingereza:
Yeshua '(Kiebrania) -> Ιησους (Kiyunani) -> Yesu (Kilatini) -> Jesus (Kiingereza) -> Yesu (Kiswahili).
Mpito muhimu ni kutoka Kiyahudi kwenda Kigiriki. Hatua hii ilifanyika miaka 200 kabla ya Yesu kuzaliwa. Watafsiri wa Septuaginta (LXX), classical Kigiriki tafsiri ya maandiko ya Kiyahudi, kutokaa Yeshua Kiebrania jina kama Ιησους katika Kigiriki. Injili ziliandikwa katika lugha ya Kigiriki ilitumia utamaduni huu wa kutafsir kwa muda mrefu.
Kwasababu Kiyahudi na Kiarabu ni lugha mbili za Kisemiti, na zina uhusiano wa karibu, kuna baadhi ya sheria maalumu ambayo sauti/maneno/maandishi ya Kiebrania yanahusiana na ambayo sauti/maneno katika Kiarabu. Hasa, Neno la Kiebrania Shin mara kwa mara linatumika kama Dhambi katika Kiarabu, kwa mfano neno la Kiyahudi la amani, shalom ni sambamba na neno “salam” la Kiarabu. Kulingana na sheria za lugha na mahusiano kati ya Kiyahudi na Kiarabu, Yasu 'ni sahihi kwa Kiarabu na kwa Kiebrania ni Yeshua:
Yeshua '= Yod + + Shin Waw +' Ain
Yasu '= + Ya + Sin Waw +' Ain
Tena, katika lugha sahihi, jina la Yasu ni Kiarabu sawa na Yeshua Kiebrania. Hivyo, katika utamaduni na jadi ya Kiarabu jina la Yasu ndilo sahihi na pekee kutokana na kiisimu. Mpito kutoka Yeshua kwa Yasu inafuata sheria ya kawaida ya mabadiliko fonetiki kutoka Kiyahudi na Kiarabu. Yasu ni jina la Kiarabu la Yesu. Kinyume chake, Yasu ndio jina lenye asili ya Yeshua.
Early Hebrew (long form): Yehoshua' = Yod + He + Shin + Waw + 'Ain
Later Hebrew (short form): Yeshua' = Yod + Shin + Waw + 'Ain
Arabic (Christian): Yasu' = Ya + Sin + Waw + 'Ain
Arabic (Muslim): 'Isa = 'Ain + Ya + Sin + Ya
“Ya” na “Waw” ni maneno dhaifu, katika lugha ya Kiarabu, hufundisha kwamba mtu anaweza kurejea katika maneno mengine kama kuchukua juu ya aina mbalimbali (declension, inflection). Hivyo, mtu anaweza kuona kwamba fomula ya Kiislamu 'Isa kimsingi ni ya bandia/kutungwa na binadamu (inversion) (pamoja na mabadiliko ya Waw ili Ya) kwa Mkristo wa Kiarabu jina la Yesu ni Yasu na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislamu.
Nategemea leo umejifunza tofauti iliyopo kati ya Jina la Yesu-Kiswahili, Yasu-Kiarabu na Yeshua-Kiebrani.
 
Wasijinyanganye kwenye jina la Yesu kristo, wataaibika sana mpaka wasiamini
Kabisa viongozi wa siasa wawe makini. YESU KRISTO NI MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA, HURUHUSU MTU KUWA KIONGOZI . AKISEMA HAPANA, MTU ANAWEZA SHINDA UCHAGUZI NA KESHO AKAFA KAMA RAIS MMOJA WA AMERIKA KUSINI, AU AKASHINDWA VIBAYA KAMA KAMALA HARRIS
 
Yesu kristo wa Nazareth wa kwenye biblia takatifu sio Issa bin Mariam wa koran.
Huo mjadala ungefaa uandikwe Mohammad and Issa
Hiyo hoja ninya kwako wewe, ila sisi Waislamu tunajua Yesu wa Nazareth ndio Isa bin Mariam,

Katika uislamu sio tu kazungumziwa yeye, kazungumziwa hadi mamake, yani Mariam mamake Yesu katija uislamu kuna Surah nzima (chapter) imepewa jina lake.

Ndio maana jina Mariam ni maarufu miongoni mwa jamii ya kiislamu, sababu ya kumuenzi bikira Maria
 
Hivo anavyosingiziwa

JIna la Yasu linatumiwa na zaidi ya 99.99% ya Wakristo wote wa Kiarabu. Tembea katika kanisa lolote la Kiarabu huto sikia wanatumia jina la Isa, Sikiliza matangazo ya Wakristo wa Kiarabu katika Radio na Televisheni (za Kiarabu) huto sikiwa Mkristo anatumia jina la Isa, bali wanatumia jina la Yasu. Matangazo yote ya Kikristo katika Uarabu wanatumia jina la Yasu. Kamwe huto ona jina la Isa kama lilivyo kwenye Koran ya Waislamu.
Katika jadi ya Kiarabu na utoaji wa tafsiri wa jina, jina sahihi la Kiebrania (Yeshua) ni Yasu katika Kiarabu. Kila uchaguzi wa tafsiri ya jina la kigeni katika lugha tofauti ni uvumbuzi wa binadamu.

Kiisimu ipo wazi jinsi jina la Yeshua Kiebrania lilivyo tafsiriwa na kuwa Yesu Kiswahili na Jesus Kiingereza:
Yeshua '(Kiebrania) -> Ιησους (Kiyunani) -> Yesu (Kilatini) -> Jesus (Kiingereza) -> Yesu (Kiswahili).

Kulingana na sheria za lugha na mahusiano kati ya Kiyahudi na Kiarabu, Yasu 'ni sahihi kwa Kiarabu na kwa Kiebrania ni Yeshua:

Yeshua '= Yod + + Shin Waw +' Ain
Yasu '= + Ya + Sin Waw +' Ain
Tena, katika lugha sahihi, jina la Yasu ni Kiarabu sawa na Yeshua Kiebrania.

Hivyo, katika utamaduni na jadi ya Kiarabu jina la Yasu ndilo sahihi na pekee kutokana na kiisimu. Mpito kutoka Yeshua kwa Yasu inafuata sheria ya kawaida ya mabadiliko fonetiki kutoka Kiyahudi na Kiarabu. Yasu ni jina la Kiarabu la Yesu. Kinyume chake, Yasu ndio jina lenye asili ya Yeshua.

Early Hebrew (long form): Yehoshua' = Yod + He + Shin + Waw + 'Ain
Later Hebrew (short form): Yeshua' = Yod + Shin + Waw + 'Ain
Arabic (Christian): Yasu' = Ya + Sin + Waw + 'Ain
Arabic (Muslim): 'Isa = 'Ain + Ya + Sin + Ya
“Ya” na “Waw” ni maneno dhaifu, katika lugha ya Kiarabu, hufundisha kwamba mtu anaweza kurejea katika maneno mengine kama kuchukua juu ya aina mbalimbali (declension, inflection). Hivyo, mtu anaweza kuona kwamba fomula ya Kiislamu 'Isa kimsingi ni ya bandia/kutungwa na binadamu (inversion) (pamoja na mabadiliko ya Waw ili Ya) kwa Mkristo wa Kiarabu jina la Yesu ni Yasu na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislamu.
Nategemea leo umejifunza tofauti iliyopo kati ya Jina la Yesu-Kiswahili, Yasu-Kiarabu na Yeshua-Kiebrani.
 
Kwahiyo mtoa mada kakurupuka, anadhani sijui waislamu wanamtazama vipi Yesu, ya Rabii, inatia huruma

Wezako Yesu ni nabii wetu, hatuwezi kumtusi huyo.

Leo nitakuombea Mungu akupe hidaya na exposure, uache kukurupuka ewe mtoa mada
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Huyo gabacholi angekamatwa na kurudishwa kwao India mara moja akahubiri utumbo wake huko. Kama ikishindikana, waathirika nao wajibu mapigo ingawa dini zote mbili ni kanyabwoya tu.
 
Hiyo hoja ninya kwako wewe, ila sisi Waislamu tunajua Yesu wa Nazareth ndio Isa bin Mariam,

Katika uislamu sio tu kazungumziwa yeye, kazungumziwa hadi mamake, yani Mariam mamake Yesu katija uislamu kuna Surah nzima (chapter) imepewa jina lake.

Ndio maana jina Mariam ni maarufu miongoni mwa jamii ya kiislamu, sababu ya kumuenzi bikira Maria
YESU wa Nazareth alisulubiwa ALIKUFA akafufuka

Huyo Issa hakusulubiwa wala kufa

Ni watu wawili tofauti

SIFA za Yesu wa Nazareth ni zile zile za Mungu

Anasamehe dhambi, ana hukumu ,ni Alfa na Omega,n.k

Issa hana hizo Sifa ,
 
Kwahy Waislamu mnaenda kufundishana vitu ambavyo mnavijua tayari?
Kwani kwenye hizi dini kuna kipi kioya sana kinafundishwa???

Yoote yafundishwayo kwenye dini tayari yashawahi kufundishwa, ni ukumbusho tu na kulinganiana watu waendelee kufuata dini na mafundisho
 
Kwahiyo mtoa mada kakurupuka, anadhani sijui waislamu wanamtazama vipi Yesu, ya Rabii, inatia huruma

Wezako Yesu ni nabii wetu, hatuwezi kumtusi huyo.

Leo nitakuombea Mungu akupe hidaya na exposure, uache kukurupuka ewe mtoa mada
YESU sio Issa , waislamu mnapenda kujipenyeza kwa Uyahudi

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao akasema nao akawambia, “nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Yesu kwa mdomo wake anakiri kuwa Mamlaka yote ya Mbinguni na duniani amepewa yeye na haya madai ni kinyume kabisa na madai ya Allah ambayo yanasema kuwa eti Yesu si chochote kile bali ni Nabii tu. Kumbuka Yesu alisema haya maneno takribani ya miaka 632 kabla ya Allah kuja na kudai kuwa Yesu si chochote kile. Sasa, Allah alikuwa wapi miaka yote hii 632 ? Kwanini Allah asinge sema haya madai kwenye Injir na akasubiri miaka 632 baadae? Hakika Isa wa Quran sio Yesu wa Biblia.
 
YESU wa Nazareth alisulubiwa ALIKUFA akafufuka

Huyo Issa hakusulubiwa wala kufa

Ni watu wawili tofauti

SIFA za Yesu wa Nazareth ni zile zile za Mungu

Anasamehe dhambi, ana hukumu ,ni Alfa na Omega,n.k

Issa hana hizo Sifa ,
Tunarudi palepale, alisurubiwa kwa imani ya kiksristo, sisi Yesu huku katika usilamu hakusurubiwa.
Ndio tunaamini sisi waislamu hivyo

Ila ni huyohuyo Yesu aliyezakiwa na bikra Mariam, kulingana na sisi waislamu namafundisho yetu

Ukisema huyu wetu siyo Yesu wenu hiyo ni wewe, sisi tunajua ni huyohuyo
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Mpaka mseme
 
😆😆😆😆 Too late
 
Unasema kwa Imani yetu alisulubiwa ,unarudi Tena unasema ni huyo huyo ,upo makini kweli ?

Mnajua kabisa huyo Issa hauziki na hana soko, mnachofanya mnamnasibisha na Yesu mfalme wa wafalme ili tu mpate soko

Uislamu ni majanga ,hata mitume ni wayahudi ,ila mnalazimishaga hivo hivo
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine

Huo ndio mwanzo wa udini kama wataruhusu ujinga wa namna hii.

Bila shaka kuna kitu kinatafutwa hapa.
Tunakumbuka miaka kadhaa ilitaka kutokea upuuzi fulani wa kidini, bahati kulikuwa na Bunge linalojielewa.
 
YESU sio Issa , waislamu mnapenda kujipenyeza kwa Uyahudi

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao akasema nao akawambia, “nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Yesu kwa mdomo wake anakiri kuwa Mamlaka yote ya Mbinguni na duniani amepewa yeye na haya madai ni kinyume kabisa na madai ya Allah ambayo yanasema kuwa eti Yesu si chochote kile bali ni Nabii tu. Kumbuka Yesu alisema haya maneno takribani ya miaka 632 kabla ya Allah kuja na kudai kuwa Yesu si chochote kile. Sasa, Allah alikuwa wapi miaka yote hii 632 ? Kwanini Allah asinge sema haya madai kwenye Injir na akasubiri miaka 632 baadae? Hakika Isa wa Quran sio Yesu wa Biblia.
Usipotoshe, Yesu si nabii tu wa kawaida kayika uislamu ni nabii na Masihi pia usisahau hiyo pointi kuwa yeye ktka uislamu alikuwa ni masihi pia.

Halafu hata kwenye biblia hiyohiyo Yesu mwenyewe hajipi Uungu, anasema wazi kuwa kuna Mungu yupo picha hii hapa, simple googling inasaidia kujua hata Yesu alifundiaha uwepo wa Mungu, ila nyie mmeng'ang'ana yeye ndie Mungu
 
Attachments

  • Screenshot_20241229-222252.jpg
    Screenshot_20241229-222252.jpg
    350 KB · Views: 1
Back
Top Bottom