kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Uislam sio dini ni mila na desturi za kiarabuMnakuja Mbio Hadi Mnakosea Kuandika Tuliza Kipago we Kafiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam sio dini ni mila na desturi za kiarabuMnakuja Mbio Hadi Mnakosea Kuandika Tuliza Kipago we Kafiri.
Zote maana moja ni nchiIts a matter of language mkuu, kwani mkuu egypt na Misri ni tofauti.
"Mngedili" kwani mimi nipo kwenye msafara wa sheikh anayekuja kuhutubia mkuu?Sikweli tumesoma lugha tunajua ,
YESU kwa kiarabu ni Yasu na maana ni moja
Issa Haina maana moja na Yesu
Mngedili na issa ambaye ni tofauti na Yesu
Mbona unawatetea sasa"Mngedili" kwani mimi nipo kwenye msafara wa sheikh anayekuja kuhutubia mkuu?
Sawa mkuuZote maana moja ni nchi
Lakini Issa Ina maana ya wekundu
YESU ni mwokozi wa Ulimwengu
Issa ana historia yake tofauti kabisa na Yesu
Mkuu sio kwamba tulikua tunaeleweshana?Mbona unawatetea sasa
Yaani A vs A, Sasa bhasi huo sio mdahalo ni Mjadala.Mtanange baina ya Waislamu dhidi ya Waislamu?
Chuki Gani Mbona Mna Hofu Makafiri Au Mnaogopa Kondoo Watafunja Zizi Watimke?Hamjui Hata Mdahalo unahusu Nini .Serikali ya kiislamu hii usitegemee huo mdahalo kuzuiliwa. Kwao ni sifa kueneza chuki za namna hiyo dhidi ya ukristo.
Isa (عيس) ndio Yesu kwa lugha ya kiarabu. hata biblia iloandikwa kwa kiarabu inamuandika hivyoKwenye Quran hakuna Yesu Kuna issa ni watu wawili tofauti kabisa ,wenye historia tofauti
Kwenye Quran hakuna Yesu Kuna issa ni watu wawili tofauti kabisa ,wenye historia tofauti
Acha utapeli kijana , Yesu kwa kiarabu ni Yasu sio issa ,sio wote wajingaIsa (عيس) ndio Yesu kwa lugha ya kiarabu. hata biblia iloandikwa kwa kiarabu inamuandika hivyo
Na hiyo inatokana na kugha ya kiarabu kukosa herufi 'e',
kiasilia hakuna herufi e kwenye kiarabu, simple googling inaweza kukusaidia kujua hilo.
Hivyo mahala popote penye herufi e katika kiarabu basi wanaweka heufi 'i' mara nyingi, ijapokuwa kwenye jina kama Dar es Salaam, kiasilia inapaswa itamkwe Dar As salaam, maana kiarabu hakuna herufi e kiasilia
Halafu, hata lugha nyengine mbina pia zina majina tofauti na mnavyoita nyinyi wakristo wa kiswahili,
Mfamo maarufu, wakristo wa kizungu wanamuita Jesus, wakati waebrania wanamuita Yeshua, lugha nyengine wanamuita Yezus, wa aramaic wanamuita Yiisa,
Kwa hiyo kama hujui kuwa katika lugha majina hubadilika utakuwa elimu yako na exposure ni ndogo
Hata majina ya kawaida huitwa tofauti, mfano Peter wengine huita Piere, George wengine huita Jorge, James wengine huita Haime, Solomon wengine huita Suleiman, Jamal wengine huita Yamal
Hiyo ni lugha tu.
Wewe na jina lako la hamis sijui umejipa hilo jina ama ni muislamu uliyegeuka mkristo hebu jipe elimu uwe unazungumza vitu kwa hoja uache kuropoka.
Maana ishu za dini nikwambie ni masuala ya kuongea kwa hoja, ukiwa unaropoka tu, vitu huna hakika navyo kama kusema katika uislamu hakuna Yesu, sijui kuna Isa, utakuwa huna hoja unajibu kama huna exposure
Hawezi kukubali... RELIGION TOLERANCE ya wa kristo ni kubwa Sanaa..Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Hiyo Yasu ni mnalazimisha nyinyi, ila kiarabu kabisa Yesu ni Isa yani tena inaandikwa عيس. Tena inarandana vyema na Jesus ya kingereza. Yasu hiyo kwa sisi tuliosoma koarabu ni jina jipya kabisaYESU /Jesus /Yehoshua /Yasu zote maana ni moja
Issa Ina maana tofauti kabisa
Kaka umeandika wewe au mtoto wako??Acha utapeli kijana , Yesu kwa kiarabu ni Yasu sio issa ,sio wote wajinga
Ni Mimi ,au unasemaje leta uteteziKaka umeandika wewe au mtoto wako??
Mimi sijaona tatizo lolote la hilo kongomanoNatoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Yesu kristo wa Nazareth wa kwenye biblia takatifu sio Issa bin Mariam wa koran.Yesu ni Mungu hiyo ni kwa imani yenu, kwetu sisi waislamu Yesu ninmiongoni mwa manabii, na katika mdahalo huo kinachoenda kuongelewa ni mafundisho ya Yesu na Muhammad kulingana na Qurani, kwani hapo nyie shida mnaona wapi???