Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Huo mdaharo uitwe Muhammad vs mwamposa

YESU KRISTO na Muhammad wapi na wapi jamani

Yaan KRISTO akae meza moja na mbakaji Muhammad aliyebaka kitoto cha miaka 6 kiaisha

Kweli jaman? Hii si sawa hata kidogo
Wewe ni miongoni mwa wasioelewa kabisa. Umeanza matusi kabla ya mdahalo.
Huwezi kuupenda maana kichwani umejaa shari...
 
Wakristo mna roho ya chuki sana sijawahi pata kuona.

Mnaandika maneno machafu sana kuhusu uislamu na Mtume wetu.

Halafu mlivyo wa ajabu mnasema dini ukristo inafundisha upendo na amani!

Upendo na amani kwa kuandika maneno machafu dhidi ya uislamu?
 
Wakristo wa Tanzania si wajinga ki hivyo, huyo sheikh asiondoke apatiwe majibu yake hapo hapo uwanjani na kina simbaulanga, mwankwema na wengine wengi wajuzi wa kupangua upuuzi wa waislam hao wa midahalo. Majibu atakayoyapata huyo sheikh hatatamani kuja tena Tanzania kueneza upuzi wao
 
Siwezi kuogapa ila tunawapa tahadhari kwamba kama mmeona njia hiyo kuwa sahihi itabidi mvumilie na sisi wakristo tukiitisha mdahalo kwenye vyombo vya habari tukifumua uchafu wote wa mtume wenu Mohamed.
Kauli mbiu ya mdahalo umeiona lakini?

Wapi umeona imewachafua wakristo?
 
Wakristo wana mna roho ya chuki sana sijawahi pata kuona.

Mnaandika maneno machafu sana kuhusu uislamu na Mtume wetu.

Halafu mlivyo wa ajabu mnasema dini ukristo inafundisha upendo na amani!

Upendo na amani kwa kuandika maneno machafu dhidi ya uislamu?
Hivi ndio umewajua, hawa wakristo yaliyojificha mioyoni mwao ni mazito. Ajabu kuna vijana wa kiislamu wasiojielewa wanawakumbatia, hawa sio ndigu zetu
 
Wakristo wa Tanzania si wajinga ki hivyo, huyo sheikh asiondoke apatiwe majibu yake hapo hapo uwanjani na kina simbaulanga, mwankwema na wengine wengi wajuzi wa kupangua upuuzi wa waislam hao wa midahalo. Majibu atakayoyapata huyo sheikh hatatamani kuja tena Tanzania kueneza upuzi wao
Tatizo lipo wapi?

Ni mdahalo, unachohofia ni nini?
 
Kauli mbiu ya mdahalo umeiona lakini?

Wapi umeona imewachafua wakristo?
Yani wanakurupuka hao.
Wanahamaki,
Wakristilo wa siku hizi hawajiamini, wanashangaza

Mdahalo unamzungumzia Yesu kulingana na uislamu, ila wanajibebesha bango la kudhani mdahalo unaenda kuwaongelea wao na imani yao, hawa watu hawana exposure

Yani mdahalo wala ulikuwa haudili na imani yao, kusikia jina Yesu wamepaparika wandhani Yesu ni wao peke yao wamemuwekea copyright kumbe ni wa wote
 
Hao wapuuzi mimi peke yangu nawamudu.

Kuna mahala baada ya kuwashinda kwa hoja wakaanza kunitishia visu na majambia. Ndo wanachokimbilia baada ya kutolewa knock out. Wavaa Kobazi ni weupe sana kichwani.
 
Tanzania ina wajuzi wa maandiko ya kikristo na kiislam, aje tu huyo sheikh akutane na majibu ambayo hakuwahi kuyasikia nchi yoyote duniani alikofanya mdahalo wake huo wa kipuuzi. kina mazinge, kinyogoli na wenzao wa mihadhara ya kiislam dhidi ya ukristo wanajua moto unaowaunguza wanapokutana na wakristo wanaojua maandiko ya kiislam, hujibiwa mpaka hukimbia uwanja wa mdahalo. huyo sheikh atafutiwe kiboko yake, apewe simbaulanga. Hatakaa asahau majibu aliyoyapata Tanzania
 
Hao wapuuzi mimi peke yangu nawamudu.

Kuna mahala baada ya kuwashinda kwa hoja wakaanza kunitishia visu na majambia. Ndo wanachokimbilia baada ya kutolewa knock out. Wavaa Kobazi ni weupe sana kichwani.
Kama ulikumbana na mdahalo wa hivyo ni huko huko, hapa hakuna mdahalo wa ajabu namna hiyo, na haidiskasiwi imani ya wakristo, inaenda kujadiliwa Quran na ilivyofundisha juu ya Yesu na Mohammad, kaa kwa kutulia, sio mahala pa kuleta ubishani unaoutaka kuuleta
 
Hivi ndio umewajua, hawa wakristo yaliyojificha mioyoni mwao ni mazito. Ajabu kuna vijana wa kiislamu wasiojielewa wanawakumbatia, hawa sio ndigu zetu
Hawa watu nimewavumilia nimewachoka.

Wana chuki sana na uislamu.

Halafu wenyewe wanajiona safi sana! Kutwa nzima kuandika kuwa ukristo ni dini ya amani na upendo.

Àmesema kweli Allah, hakukosea! Yaliyo moyoni mwao ni makubwa sana kuliko wanayoyaongea.

Kwa kuwa hatuonani sasa huu ndiyo muda wao! Wanatema ya moyoni.
 
Back
Top Bottom