Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Kuzuia utakua ni udikteta mkuu, maana yesu so far ni nabii wa pande zote, so hawezi ongelewa vibaya
 
Nimeenda kumgoogle kwani nae huwa anaitisha mdahalo uwanja kama wa kwa mkapa?
Sina hakika sjamfatilia in deep, ila kwa kubalance huyo sheikh anakuja kuwapa lecture kwa part kubwa waumini wakiislam, na mwishoni mwa lecture kuna kuna na section ya maswali na majibu hapa mara nyingi wanafavour wasio-waumini wa kiislamu waulize maswali zaidi.

Debate kama debate (mdahalo) hua wanapigaga na watu aina ya kina sam shamoun.
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Umekurupuka maana huo mdahalo hauitwi Mohammad vs jesus bali unaitwa muhammad and jesus- katika maandiko ya kisslamu, hakuna against wala vs yoyote hapo. Umekurupuka na unataka kuleta taharuki

Yani kwenye posti yako tu nasikia unavohema kwa kuhamaki umekuja mbiombio umekurupuka hebubksome vizuri posti za huo mdahalo.

Tambua kuwa Yesu yupo kwenye maandiko ya kiislamu, ni miongoni mwa mitume katika uislamu, hivyo hakuna baya analoenda kuzungumziwa ymYesu siku hiyo, punguza kukurupuka na kutuwazia unegative waislamu
 
Umeruka Mavi ili ukanyage Mavi
Mdahalo unaitwa Mohammad and Jesus,

Hapo kinachoenda kuangaliwa ni mafundisho ya manabii hao wawili kama walivyozungumzwa katika dini ya uislamu, kwani nyie mmeelewaje, au mnadhani waislamu wanamuona vipi Yesu???

Sisi waislamu tunapinga tu mnavyomuita Yesu Mungu, ila still kwenye uislamu Yesu anatambulika kama miongoni mwa wajumbe wa mwenyezi Mungu na masihi
 
YESU wa Biblia tofauti na huyo wenu anayeitwq Issa ,

Kwanini mnapenda kujipendekeza kwa Yesu ?
 
Kwani kuna shida waislamu kwenye mdahalo wao kufundishana habati za Yesu kama zilivyoandikwa kwenye Qurani,

Maana kwenye Qurani Yesu kaandikwa, na waislamu tunamuamini

Ila tu hatuamini kuwa yeye ni Mungu, jambo ambalo yapo madhehebu ya kikristo ambayo nayo yanaamini Yesu hakuwa Mungu, mfano mashahidi wa Yehova, hawaamini Yesu kuwa alikuwa Mungu
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa,

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Huo mdahalo umeandaliwa na taasisi gani? Na ajenda zake ni nini?
 
YESU ni Mungu ,Yesu anatuma manabii na mitume

Usimuweke daraja moja na marehemu Muhammad
hiyo ni mtizamo wa kikristo, na katika imani nyingine wanamtizamo tofauti. So ni kusikiliza na mwisho kunakukubaliana au kukatiliana.

Maana kila mtu anahoja zake kwa kitabu chake
 
Back
Top Bottom