Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mnalazimisha tu kama kawaida yenu.Hiyo hoja ninya kwako wewe, ila sisi Waislamu tunajua Yesu wa Nazareth ndio Isa bin Mariam,
Katika uislamu sio tu kazungumziwa yeye, kazungumziwa hadi mamake, yani Mariam mamake Yesu katija uislamu kuna Surah nzima (chapter) imepewa jina lake.
Ndio maana jina Mariam ni maarufu miongoni mwa jamii ya kiislamu, sababu ya kumuenzi bikira Maria
Katika hali ya kawaida, kati ya Wakristo na waisilamu, ni nani hawana akili? πππWapi ulipodhalilishwa ukristo? We wakristo mbona hamna akili? Yaani ninyi akili zenu ni kisoda
@,!Nadhani hujaelewa lugha iliyo tumika,ni semina inayo endeshwa na Dr.wa philosophy ya imani ya kiislamu.Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Kwa hiyo kwako akili ni kusubiri ahadi za mabikra 72 ambao tutashea wote?W
api ulipodhalilishwa ukristo? We wakristo mbona hamna akili? Yaani ninyi akili zenu ni kisoda
Waislam na wakristo ea Kiafrika wote wajinga tu hamna imani yeniNatoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani
Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?
Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu
Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Tuanze na aliyeruhusu lengo lake ni nini?Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu
Hasa linapokuja suala la matoleo na mgaoHUYU JAMAA HUWA SIKU ZOTE ANAJARIBU KUUNGANISHA MADHEHEBU, SIONI AKIKASHIFU, MTAZAMO WAKE NI PAWEPO NA KITU KAMA "CHRSTISLAM" AMBAYO NI NGUMU SANA.
Nahisi ni Dr Zakri Naiko au?? Kama ni yeye itakuwa lini?? Kenya mbona vitu vya kawaida hivi,nini hawa watanzania?Umekurupuka maana huo mdahalo hauitwi Mohammad vs jesus bali unaitwa muhammad and jesus- katika maandiko ya kisslamu, hakuna against wala vs yoyote hapo. Umekurupuka na unataka kuleta taharuki
Yani kwenye posti yako tu nasikia unavohema kwa kuhamaki umekuja mbiombio umekurupuka hebubksome vizuri posti za huo mdahalo.
Tambua kuwa Yesu yupo kwenye maandiko ya kiislamu, ni miongoni mwa mitume katika uislamu, hivyo hakuna baya analoenda kuzungumziwa ymYesu siku hiyo, punguza kukurupuka na kutuwazia unegative waislamu
Uoga wa nini sasa?Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO
Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
Hakika MkuuMsihangaike wala kubabaika na wasiomuamini Mungu wa kweli.Ukisto ndiyo dini ya kweli hata hao wanamdahalo(wapagani) wanalijuwa.
Waacheni washindane nanyi kimwili ila kiroho wanashindana na ambaye haijawahi kushindwa (YESU).
Salini sana ndugu zangu katika roho na kweli ili kuwa saidia pia waliopotea(wanaofata imani ya kiarabu).
Mungu wetu ananguvu wala hakuna haja ya mwanadamu kumpigania kama alivyo mungu wawasio a mini.
ChrisIslam ni mpango wa ibilisiHUYU JAMAA HUWA SIKU ZOTE ANAJARIBU KUUNGANISHA MADHEHEBU, SIONI AKIKASHIFU, MTAZAMO WAKE NI PAWEPO NA KITU KAMA "CHRSTISLAM" AMBAYO NI NGUMU SANA.
Ya kwamba nyinyi wakristo mnao nunua udongo na chumvi kwa laki moja na kutembea nao kwenye mikoba ili mtajirike bila kufanya kazi ndo mna akili kuwa zidi waisilam?πππ.Katika hali ya kawaida, kati ya Wakristo na waisilamu, ni nani hawana akili? πππ
huko kwenye maji, udongo na mafuta tunabanana wote, akina Mwanaidi na Fatuma wapo wengi tu wanakujaYa kwamba nyinyi wakristo mnao nunua udongo na chumvi kwa laki moja na kutembea nao kwenye mikoba ili mtajirike bila kufanya kazi ndo mna akili kuwa zidi waisilam?πππ.
Kwahiyo mnamngangania Yesu Kristo awe isa?kitu ambacho hawafanani kwa chochote zaidi ya hiyo story ya kuzaliwa na bikra.Tunarudi palepale, alisurubiwa kwa imani ya kiksristo, sisi Yesu huku katika usilamu hakusurubiwa.
Ndio tunaamini sisi waislamu hivyo
Ila ni huyohuyo Yesu aliyezakiwa na bikra Mariam, kulingana na sisi waislamu namafundisho yetu
Ukisema huyu wetu siyo Yesu wenu hiyo ni wewe, sisi tunajua ni huyohuyo
Kati ya ukristo na usilamu upi umeanza?hapa ndio utapata jibu nani kakopy mwenyie...kaeni mbali na mitume maana motume wote walikua wayahudi kasoro muddy pedophile.Siku zote nasema tatizo la wakristo ni kujimilikisha vitu na kudhani ni vya kwao tu, wanaamini Yesu ni mali yao wakristo na wakati mwengine husema kuwa Qur'an imekopi maandiko yao ambapo ni Agano la kale wakati hata ukristo haukuwepo.