Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu. Kwa maana tazama, siku zitakuja watakaposema, Heri walio tasa, na matumbo yasiyozaa, na maziwa yasiyonyonyesha. Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tufunikeni. Kwa kuwa kama wakitenda mambo haya katika mti mbichi, itakuwaje katika mkavu?
Luka 23:28-31
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine

1. Nchini kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu

2. Kama atatukanwa mtakuwa na haki ya kumshtaki aliyemtukana lakini ujiandae kuonyesha hayo yanayosemekana ni "MATUSI".

3. Sijajua kwanini mnatapa tapa kwa ujio wa pili wa zakir naik na wakati alishawahi kuja nchini 2017 na hamkumshtaki kwa hayo unayoita "MATUSI".

4. Haji kufanya mdahalo anakuja kuwapa mawaidha waislamu na kujadili "misconceptions " nyingi tu ambazo waislamu duniani kote tunazo.
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
Crusaders , bynzantine empirs na knight templers walimpigania gwajima na mzee wa upako?
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Unaogopa nini! Wacha vitabu vichambuliwe, Mambo yawekwe wazi, huwa si elewi kwa nini watu hu hamaki Imani zao zikichsmbuliwa, kwa mtazamo tofauti,
Kuna swala la utumwa, na biashara za utumwa, watumwa weusi waliopelekwa uarabuni, walihasiwa ili wasizaliane, hili swala ukiliongelea mbele ya wa Islam weusi, huwa wana hamaki Sana, wanawaona waarab kama miungu, so stupid
 
Kutukana Ukristo ndio Msingi wa Dini yao...bila Ukristo hakuna uisilamu....ila kuna waislamu wako smart sana wanaona aibu kwa haya yanayofanywa na wenzao.
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
SAWA Uislamu hauna miguu ya kuisimamia wacheni basi watu tupate Elimu
 
Unaogopa nini! Wacha vitabu vichambuliwe, Mambo yawekwe wazi, huwa si elewi kwa nini watu hu hamaki Imani zao zikichsmbuliwa, kwa mtazamo tofauti,
Kuna swala la utumwa, na biashara za utumwa, watumwa weusi waliopelekwa uarabuni, walihasiwa ili wasizaliane, hili swala ukiliongelea mbele ya wa Islam weusi, huwa wana hamaki Sana, wanawaona waarab kama miungu, so stupid
Na unakuata muislam anakohoa kohoa kama muarabu.......ni viumbe wa ajabu
 
Wanaanzaje kumfananisha Babu aliyeoa mtoto wa miaka 6 na Yesu? Wao wenyewe wanaamini Yesu alikuwa muislamu sasa hii Jesus V's Mohamed inatoka wapi?
 
Kamala Harris alimdhalilisha Yesu Kristo kwenye kampeni zake, matokeo yake akaukosa Urais.
Post hoc ergo propter hoc fallacy: A logical error where someone assumes that because event B happened after event A, then event A must have caused event B
 
Kweli kuna shida mahali kwa miafrika
Mtabaki nyuma kwa ujinga huu
Fanyeni kazi nyie
Maendeleo yanaletwa kwa kujituma nyie mara mwamposa sijui midahalo isiyo na tija kwenu
Hamstahili pole bali kuwahurumia tu
 
Ikifikia kwenye dini, hata watema madini wa Jf wanageuka kuwa wapumbavu wasio na darasa moja kichwani.
 
Back
Top Bottom