Umekurupuka maana huo mdahalo hauitwi Mohammad vs jesus bali unaitwa muhammad and jesus- katika maandiko ya kisslamu, hakuna against wala vs yoyote hapo. Umekurupuka na unataka kuleta taharuki
Yani kwenye posti yako tu nasikia unavohema kwa kuhamaki umekuja mbiombio umekurupuka hebubksome vizuri posti za huo mdahalo.
Tambua kuwa Yesu yupo kwenye maandiko ya kiislamu, ni miongoni mwa mitume katika uislamu, hivyo hakuna baya analoenda kuzungumziwa ymYesu siku hiyo, punguza kukurupuka na kutuwazia unegative waislamu