Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Mdaharo uendelee. Kama watakohusika ni upande mmoja, jaribu kuuliza, nini hicho?
 
Umepinga Kuhusu Kuingia Kwenye Misikiti Ya Wayahudi ila Hujapinga Kuwatawaza Wanafunzi Wake.Alafu Uislam Upo Toka Kuanzia Kwa Adam A.S, Huo mwaka wa 622 Ni mwaka Ambao Mtume wa Mwisho Alipata Kuishi Na Alikuwa Anafundisha Watu Wamwabudu Mungu Mmoja Bila Kumshirikisha Na Chochote Na ndio Mila Ya Ibrahimu A.S.
Yesu alikuwako kabla ya mitume wote
Yesu ndo aliumba wanadamubna vyote vilivyomo
Yesu ni Mungu
Hakuna mtume WA mwisho hizo ni story za kihuni
Yesu ndo Alfa na omega
Yaani mwanzo na mwisho.
Hakuna mtume atakuja baada ya yesu hao ni matapeli wakuitwa manabii na mitume wa uongo, na wanaashiria mwisho wa dunia
 
Wagalatia kwanini munateseka? kwani umelazimishwa kuhudhuria?
 
Kikubwa wale viherehere wa midahalo akina Mwakemwa, massage, simbaulanga wasiende huko na baadaye tv tunayolipia 28,000 Kila mwezi ituambie tunalipa hela ili watuenezee dini Yao?
 
Haiwezi Kutokea Kafiri Akaujua Uislam kuliko Mwislamu Ila Waislamu Wengi tu Wanaujua Ukristo Nje Ndani Wanaifahamu Bible Nje Ndani We huna lolote Hulijualo Huna Buhar Wala Bahari.
Mtu amjue Kristo ambayo ndiyo kweli yote halafu aje kuhangaika na huo upagani
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Nitaoshangaa zaidi serikali iwapo itaruhusu huu mdahalo kufanyika. Kwasababu serikali yenyewe tuu haikubali mtu asiye ntanzania kuzungumzia mambo ya watanzania kana kwamba yanamuhusu
 
Kiukweli mkuu kuna vitu siwezi kuandika humu in details Ila nilichokuja kugundua extremist yoyote, aidha awe muislamu au mkristu, ndani yao huwa wana ubaguzi mkali sana

Na mbaya zaidi wengine huwa na kiu ya kuua kabisa Ila kutokana na mfumo wetu wa kinchi na kijamii, huwa ni ngumu. Ila chokochoko kama hizi zikitokea ndio rangi zao huonekana

Na wengine wenye vitu vya kupoteza kama uchafu wa mawazo na nia zao zikijulikana. Ndio hao wanatapika nyongo humu. Kwa hiyo usije kuamini mtu akikuambia kuwa hayo ni maneno ya jf tu. Hawa watu humaanisha
Mkuu we acha tu
Ni kweli kuna watu wanaumia sana kuona watu wanaishi
 
Yesu alikuwako kabla ya mitume wote
Yesu ndo aliumba wanadamubna vyote vilivyomo
Yesu ni Mungu
Hakuna mtume WA mwisho hizo ni story za kihuni
Yesu ndo Alfa na omega
Yaani mwanzo na mwisho.
Hakuna mtume atakuja baada ya yesu hao ni matapeli wakuitwa manabii na mitume wa uongo, na wanaashiria mwisho wa dunia
Tuoneshe andiko linalo dhibitisha huo umungu wa Yesu tena kutoka kwenye biblia yenu.
Hizo hadithi za Yesu ni Mungu zili letwa na Paulo Yesu hajawahi kusema yeye ni Mungu.
 
Tuoneshe andiko linalo dhibitisha huo umungu wa Yesu tena kutoka kwenye biblia yenu.
Hizo hadithi za Yesu ni Mungu zili letwa na Paulo Yesu hajawahi kusema yeye ni Mungu.
Hata mtume pia hakuwah kuwa mtume ni mjanja mjanja tuuu yule
 
Tuoneshe andiko linalo dhibitisha huo umungu wa Yesu tena kutoka kwenye biblia yenu.
Hizo hadithi za Yesu ni Mungu zili letwa na Paulo Yesu hajawahi kusema yeye ni Mungu.
Yesu ni Mungu soma biblia, Mwanzo hadi Ufunuo
 
Una mtetea yesu ambae aweza kuji tetea mwenyewe¿
Nyie mbona mnamtetea mudi mudi alisema alipaaa kwenda mbingun ivii wewe na akili yako punda anawezaa paaa kwenda mbinguni kweli bila rocket 🚀
 
Acha kuwa insecure kajifunze upate madini mapya usibakie kukaririshwa tu maandiko ..acha undondocha!
 
Back
Top Bottom