Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mariam mama wa Issa alimzaa Issa tu.Hili unatakiwa ulete ushahidi wa kihistoria, utambie Yesu alizaliwaje na kwao wapi ? Mama yake ni nani ?
Sasa kama ungekuwa na akili timamu, usingepinga hilo, sababu huyo Maria hakuwa na mtoto mwingine zaidi ya Yesu aliyemzaa katika mazingira, swali wapi Yesu alizaliwa ?
Sasa msilazimishe utofauti ambao haupo.
Yesu alihubiri nini ? Issa naye alihubiri nini ? Bila shaka ni Injili, je Injili ya asili ilihubiriwa na watu tofauti ?
Ila Mariam Mama wa Yesu alizaa watoto wengine baada ya kumzaa Yesu.