Nimelipokea
Ahsante kwa busara zako kwa mie mdogo wako mkuu 🙌🙌🙌mdahalo ni majadiliano ya kushindana ya hoja kwa kutumia hoja hilo halina shida,ila shida inakuja kwa watu kama wewe unayeikashfu jamii fulani kwa kuwaambia hawana akili akili kisoda...watu kama wewe ndio huwa sasa mnaharibugi mijadala kama hiyo,pole kama nimekukwaza mkuu ila ushauri wangu kwako usikashfu dini ya mwenzako kwani inawezakupelekea kukashfiwa au kutukanwa kwa dini yako au mungu wako