Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Mariam mama wa Issa alimzaa Issa tu.
Ila Mariam Mama wa Yesu alizaa watoto wengine baada ya kumzaa Yesu.
 
Dhibitisha hayo maneno unayo yasema kupitia maandiko na sio kutoka kichwani mwako.
Neema ya Mungu ikufikie umtambue na umkiri Yesu kama bwana na mwokozi wako
Mungu akupe neema akutoe huko gizani
Wewe unahitaji kuombewa wala sio kukubishia
Nina amani ipo siku utampokea Yesu na utaona mema yake
 
Sasa wewe unajuajeee kama quruan ni yakweli
 
Neema ya Mungu ikufikie umtambue na umkiri Yesu kama bwana na mwokozi wako
Mungu akupe neema akutoe huko gizani
Wewe unahitaji kuombewa wala sio kukubishia
Nina amani ipo siku utampokea Yesu na utaona mema yake
Acha ngonjera umeambiwa uweke andiko litakalo nifanya niamini Yesu ni Mungu ww unaleta ngonjera.

Mm Yesu nimesha mpokea ila nimempokea kama nabii na sio kama Mungu.
Hakuna andiko lolote linalo sema ni Mungu ,ila kuna maandiko kibao yanayo dhibitisha Yesu alikuwa mtume wa Mungu sasa sijui kati ya Bible na ww unataka tumuamini nani.
 
Toka shetani
 
Sasa wewe unajuajeee kama quruan ni yakweli

Swali zuri.

Najua Qur'an ni ya kweli kwa sababu sifuatazo.

1. Ujumbe wake unaendana na mumbile.

2. Inahifadhika kichwani na moyoni, huu ni muujiza, hakuna kitabu kingine kilichohifadhiwa moyoni zaidi ya hiki.

3. Namna kilicho kusanywa, historia yake Iko wazi sana.

4. Haibadiliki Wala hamtokuja kubadilika.
 
Uzuri wa wakristo huwa hawahangaiki na mambo madogo madogo.
Kwa Dunia ya leo unatakiwa usiongee hivi mkiwaachia watajitawala hao,msemo usemao bandu bandu umaliza.....??!! Waache kabisa huo mdahalo hilo lihindi sijui kwanini linakuwaga kichwa ngumu india walitaka kumpiga risasi wahindi wakristo bado linakuja tz linajua ni wavaa misuli wote?!!!
 
Woga wa nini sasa? mnajiita wasomi halafu mnaogopa midahalo kwani anatukanwa mtu?tusikilize then tuchambue,dini yako ikiwa ni ya kweli na huna wasiwasi nayo hupaswi kuogopa midahalo.
Kwani lazima ufanye mdahalo ambao utazua tatizo??!!acha hizo wewe kwanini asiongelee imani yake??!! Huu ndio udin kama hujui na una madhara najua hawawezi kumruhusu afanye hivyo
 
Kwaiyooo hiyooo ndio inakufanya uamini ni kweli
 
mkuu mimi mpaka sasahivi sijapata reasons za kwanini watu wamefura na tukio hili. hebu nieleweshe mkuu wanaolalamika wanalalamika nini?
 
Toka shetani
Shetani ni ww unaye mfanya binadamu mwenzako kuwa Mungu wako.

Biblia ineandika wazi kabisa kuwa amelaaniwa amtegemeaye binadamu kuwa kinga yake kwa hiyo nyinyi ni walaaniwa.
 
Kweli mmeshikwa pabaya Leo mna mgombania Yesu!?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…