Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Ni lini CHADEMA imezuiwa kushiriki uchaguzi?
 
acha upotoshaji wa kivivu gentleman 🐒
 
Safi sn vikwazo viwekwe vyakutosha, fedha zote si za mama atoe mfukoni mwake kuhudumia nchi
 
Mbaya zaidi maza hali ikiwa mbaya anarudi zake kwao Zanzibar anatuachia matatizo yetu.
 
Yaa

Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Vikwazo viliwekwa mkuu mfano makonda yupo black listed na pia misaada mingi ilizuiwa sema wewe kichwa maji hujui duniani nini kinajiri
 
CCM wanasema haina shida wana MCHINA tajiri no 2 duniani.
 
Mnaota mchana kweupe
Hivi Katibu Mwenezi CCM AmosI Makalla CPA Fake aliyesema CHADEMA wana mpango wa kununua Virusi vya E-bola, M-pox na Covid-19 na Mhe. Antipas Lissu-CHADEMA Chairperson, nani anayeonekana kuota mchana kweupe, in your words! CCM mnajifanya mna akili saaana kuliko Watz wote....!!!
 
Reactions: UCD
yaaani bora tusilipe mishahara ya september na october ili uchaguzi ufanyike waambieni wasitoe hiyomisaada yao tupo makini na tunjiweza
 
Reactions: UCD
Kwa taarifa yako mwaka 2020 uchaguzi ulifanyika kwa pesa za watz.
 
We bwege kaharishe huo uvundo
 
Reactions: UCD
Mwambie huyu nyumbu mwenzako bado anategemea vya bure karne hii. Naona Tindo unaanza kujitambua kidogo kidogo! 🤣🤣
 
Wapo wakina Babu tale
Kina Babu Tale ndo Timu ya wenye akili CCM. Wamo kina Livingtone Lusinde a.k.a. Kibajaji(Class-7), Joseph Kasheku a.k.a. Msukuma (Class-7)...hawa ndo vichwa kwa CCM na huwa wana uthubutu wa kuwatukana mpaka Maprofessa wao takataka pale Bungeni....!!!

Hiyo ndo CCM( Chama Cha Majuha).....hiyo 'M' weka upuuzi wote unaojua, Majambazi, Majizi, Matapeli, Mafisadi, Malaya, Mazezeta n' all that!!!
 
Kumbe 40% ya bajeti inatokana na misaada kutoka nje halafu unakuta chawa wanakenua meno kwenye media na mikutano wakisema fedha za mama. Bata wahed!
 
Kwa taarifa yako mwaka 2020 uchaguzi ulifanyika kwa pesa za watz.
Nani asiye wajua CCM?? Hivi unajua hiyo pesa unayodai ya Watz ilitoka wapi????Hv unajua kuna mabilioni ya pesa za Watz walidhulumiwa pesa zao na Mwendazake JPM kwenye akaunti zao kwa kusingiziwa ni wauza madawa ya kulevya, utakatishaji fedha kwa kutumia sheria ya Money Loundering?

HV unajua kuna Wazee Wastaafu walio stahafu miaka ya 2018/9,2020/21/22/23 kwa kushindwa kulipwa mafao yao kwa sababu Serikali ya CCM kuchota fedha za Mifuko ya Jamii, NSSF na PSSSF ili watumie kwene Uchaguzi? Unalijua hilo au unaropokwa tu? Shame on you!
 
Wewe Musukuma unamzidi kwa lipi? Anabiashara kubwa anaweza kujieleza na watz wakamwelewa. Hebu na wewe tusaidie tukujua una nini cha maana kumzidi Mh. Musukuma?
 
Vikwazo viliwekwa mkuu mfano makonda yupo black listed na pia misaada mingi ilizuiwa sema wewe kichwa maji hujui duniani nini kinajiri
Kwahy makonda kuwekewa vikwazo ndo sawa na nchi kuwekewa vikwazo?
 
Ila Chadema bhana 😂 ety vikwazo vya kiuchumi 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…