mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa kwao,watu hawani watu maarufu waliofanyia makubwa nchi hii, japo gavana alifariki akiwa hajafikisha hata miaka 50 alikuwa amejenga hekalu London na mikocheni DSM,cha ajabu kwao Ngara alijenga nyumba ya kawaida sana hata mimi ninaweza kuijenga,sasa kamati ya mazishi ikawaza ikawazua ikasema hapana,huyuni mtu mkubwa msiba wake watahudhuria vigogo akiwemo Rais Mwinyi,tumzike hapa hapa,japo alifia London akazikwa Buguruni Malapa,kaburi lake lipo hata leo,
Prince Ferdinand Ruhinda yeye sina taharifa za kujenga kwao au kutojenga ila ajiwa mtoto wa chifu wa nwisho wa Karagwe inashangaza kwa yeye kuzikwa Dar kutokana na mila ba desturi za kwao,kijana wa kiume huzikwa alipozikwa baba yake unless otherwise.