Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ferdinand Ruhinda alikuwa Mbunge wa Buyungu Kakonko kipindi fulani na pale Kakonko anawadogo zake,dada yake(marehemu kama sikosei) na waipwa zake lakini inasemekana alijenga Tanga,Kakonko ana Lodge ambayo aliitengeneza kutokana na kununua nyumba ya muhindi mmoja aliyehamia miaka mingi pale Kakonko aliyeitwa Kassam Hilji.Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa kwao,watu hawani watu maarufu waliofanyia makubwa nchi hii, japo gavana alifariki akiwa hajafikisha hata miaka 50 alikuwa amejenga hekalu London na mikocheni DSM,cha ajabu kwao Ngara alijenga nyumba ya kawaida sana hata mimi ninaweza kuijenga,sasa kamati ya mazishi ikawaza ikawazua ikasema hapana,huyuni mtu mkubwa msiba wake watahudhuria vigogo akiwemo Rais Mwinyi,tumzike hapa hapa,japo alifia London akazikwa Buguruni Malapa,kaburi lake lipo hata leo,
Prince Ferdinand Ruhinda yeye sina taharifa za kujenga kwao au kutojenga ila ajiwa mtoto wa chifu wa nwisho wa Karagwe inashangaza kwa yeye kuzikwa Dar kutokana na mila ba desturi za kwao,kijana wa kiume huzikwa alipozikwa baba yake unless otherwise.
Binti mkubwa ni lawyer,wawili ni ma movie producers, mmoja ambaye ndie pisi kali hatari yupo yupo tuu!Binti yake mmoja aliolewa na mtangazaji wa zamani wa clouds na sasa UN ,Anorld Kayanda
barabara ni lami, hivyo watu wanajirusha kula night life town, kisha wanarudi bush asubuhi. angalia kitu hiki kiko Marangu SomangaNendeni Kilimanjaro mkaone mahekaru yalivyotelekezwa na watoto wa kiume waliorithi mali za baba zao, mengi yameota miti ndani, nani atakubali kulala saa mbili usiku!
Nikashangaa Mkapa kwenda kumzika Lupaso, babu Mkapa hakuwahi kupapenda kule na hakufanya lolote kijijini kwao.Kama mwenyewe alipachukia kwo akiwa hai unadhni baada ya kufa ndo atapapenda?
Sidhani kama kuna haja ya mtu kujenga kijijini kisa ataenda kuzikwa. Kuna familia ninaifahamu, wote wako vizuri kiuchumi kuanzia baba yao. Ina maana hawa wote kila mtu akamiliki nyumba kijijini kwao? Atakaa nani?Alipapenda Lushoto zaidi,lakini kizazi cha akina mkapa jamii nyingi huzikwa walipozikwa baba na babu zao
Mkuu hawezi kujenga hekalu London.alikuwa amejenga hekalu London
Maisha ya mjini wengi wetu tunapenda kujifariji tuu, lakini yana life span. Mda ukfika inabidi usepe tuu otherwise unaanza kuwa karaha kwa wengine. Wengi wa rika lako walishasambaratika. Ukikutana na vijana ni kulalamika hutembelewi. Yes, kijijini pia kuna changamoto zake. Lakini ukipaanda, maisha yanasonga fresh tuu.Sidhani kama kuna haja ya mtu kujenga kijijini kisa ataenda kuzikwa. Kuna familia ninaifahamu, wote wako vizuri kiuchumi kuanzia baba yao. Ina maana hawa wote kila mtu akamiliki nyumba kijijini kwao? Atakaa nani?
Kisa tu kuimpress jamii kwenye msiba wako?
Kwani marehemu anajisikia aibu?
Kijijini kwetu kuna nyumba aliyoijenga baba ambayo alianzia maisha huko, hata mimba yangu ilitungwa hapo. Baadae akahamia mjini na ana nyumba zingine pia. Ile nyumba imechakaa kwa sasa yaani ya kizamani ila mzee bado huwa anaifanyia ukarabati. Mimi ndio first born na hakuna ndugu yangu yeyote anaishi pale kati ya watoto wa baba. Babu na bibi walikua wanaishi pale, babu akafariki ila bibi ndio anaishi mpaka leo.Maisha ya mjini wengi wetu tunapenda kujifariji tuu, lakini yana life span. Mda ukfika inabidi usepe tuu otherwise unaanza kuwa karaha kwa wengine. Wengi wa rika lako walishasambaratika. Ukikutana na vijana ni kulalamika hutembelewi. Yes, kijijini pia kuna changamoto zake. Lakini ukipaanda, maisha yanasonga fresh tuu.
mdukuzi personally nimeshangaa mtu mzito kama Balozi Ruhinda kuzikwa Kinondoni.
By the way kama ukiwa na uwezo, kutojenga kijijini kwenu ni ubinafsi. Maana, most likely wategemezi hawatarudi tena kama ukishatangulia mbele ya haki. Lakini pia ni kuchangia uchumi wa kijijini kwenu. Hata Yule Mlinzi na gardener wanapata kitu wanatumia familia zao. Ukivuta umeme ..hata majirani wanachukua kwako..so is water services….
Kama una uwezo nakushauri kajenge kijijini pia.
Umeandika Mambo mengi Sana na wasiwasi na umri wako pia malezi ya udogoni mwako uliyo kulia udogoni mpaka unakua..Why Sasa upo mjini na hapa ukipata gap la kusepa USA na familia yako wakasome huko huko na mnakuwa raia mbona fasta kabla jogoo hajawika umeshafika airport.
Hujafungwa wewe sio jiwe lazima uishi pale pale ulipoumbiwa hata ancestors walihama kutafuta fertile and green pastures Sasa wewe komaa eti kwetu.
Hakuna anayepakataa Ila unacheki Kila kitu kizuri kopo town.
Nunua coaster weka kwenu si unapapenda. Halafu wanaume tmk sio kuwa ndio SI unit.
Kwanza wale jamaa mababu zao walitokea wapi wakaja dar.
Hata mnyama tu kwa akili ndogo aliyonayo anahama kufuata palipo na maji na nyasi so mie nifie mahala eti ni kwetu.
Ulaya Wenyewe walihamia USA kitambo kutafuta pazuri na wameshapotelea huko.
Babu yake na trump alienda USA kitambo mno.
Kafungue duka ama biashara ama mpaka ufe uwe mzoga eti ndio kwenu wakati hata ajira ama wa kwenu hawapati faida yoyote na wewe.
barabara ni lami, hivyo watu wanajirusha kula night life town, kisha wanarudi bush asubuhi. angalia kitu hiki kiko Marangu Somanga
View: https://youtu.be/JcAhGT9HYVM?feature=shared hivyo Moshi mgombani ni town kabisa.
P
I can’t argue with your approach. ila mkuu kwa maneno yako hapo, hiyo nyumba haifai kwa matumizi ya binadamu. Sidhani kama ina mahitaji yote ya muhimu kwa maisha ya kila siku. Ndo maana hata wewe au ndugu zako haiwavutii kwenda kuishi huko.Kijijini kwetu kuna nyumba aliyoijenga baba ambayo alianzia maisha huko, hata mimba yangu ilitungwa hapo. Baadae akahamia mjini na ana nyumba zingine pia. Ile nyumba imechakaa kwa sasa yaani ya kizamani ila mzee bado huwa anaifanyia ukarabati. Mimi ndio first born na hakuna ndugu yangu yeyote anaishi pale kati ya watoto wa baba. Babu na bibi walikua wanaishi pale, babu akafariki ila bibi ndio anaishi mpaka leo.
Mimi nikajenge pale, wadogo zangu wengine wakiume 2 nao wakajenge pale, maana wa mwisho ni mwanamke na ameshaolewa. Tutakuwa na nyumba zingine 3 za kazi gani?
Mimi nadhani tuboreshe ile nyumba ya mwaka 1986 aliyojenga mzee iwe mali ya familia na likitokea jambo tunakutana pale.
Kwa sasa ndio nyumba ya makutano ya mambo ya kifamilia na kiukoo kijijini kwetu.
Ngoja nitie nia ya kujenga lakini huku naendelea kutafakari zaidi.
A nae si haba guu guu 🔥🔥Binti mkubwa ni lawyer,wawili ni ma movie producers, mmoja ambaye ndie pisi kali hatari yupo yupo tuu!
P
Nilisahau kitu kingine, ile nyumba ina maji na umeme. Umeme kijijini kwetu upo siku nyingi kidogo, nyumba iko vizuri tu kwa mfano ina choo cha nje kizuri kuliko vyoo vingi vya mjini hapa. Ina fence na paa lilibadilishwa. Kiufupu bado ni nyumba nzuri kwa kijijini kule.I can’t argue with your approach. ila mkuu kwa maneno yako hapo, hiyo nyumba haifai kwa matumizi ya binadamu. Sidhani kama ina mahitaji yote ya muhimu kwa maisha ya kila siku. Ndo maana hata wewe au ndugu zako haiwavutii kwenda kuishi huko.
barabara ni lami, hivyo watu wanajirusha kula night life town, kisha wanarudi bush asubuhi. angalia kitu hiki kiko Marangu Somanga
View: https://youtu.be/JcAhGT9HYVM?feature=shared hivyo Moshi mgombani ni town kabisa.
P
Mkapa kwao si kuna taarifa sina hakika nayo kwamba walimtenga mama yake wakisema ni mchawi? Ungekuwa wewe ungepapenda uko.Nikashangaa Mkapa kwenda kumzika Lupaso, babu Mkapa hakuwahi kupapenda kule na hakufanya lolote kijijini kwao.