Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Amejaaliwa mabinti pisi kali 3, kumbe ni Abahima wa ukoo wa Mkama Rumanyika!. Mabinti wa Abahima... sii mchezo!ila kazkaz ni Abahiru!Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Yaani ni wahima pure ukoo mzima umejaa piss kali historia ya mke wake inachekesha sana,yeye na Mkapa walikuwa marafiki kitambo sana ,sasa mwalimu akataka kuwapa ubalozi,ndio ikaonekana Ruhinda hana mke akaambiwa bila ndoa No ubalozi ,ikabidi aokote mke fastafasta na kufunga nae ndoa .amekufa katika mazingira magumu maana mke alishatangulia,hizo piss unazozisema zilikuwa busy na mambo yao huku mzee sukari inammaliza akihudumiwa na houseboyAmejaaliwa mabinti pisi kali 3, kumbe ni Abahima wa ukoo wa Mkama Rumanyika!. Mabinti wa Abahima... sii mchezo!ila kazkaz ni Abahiru!
P
Duh ...!Yaani ni wahima pure ukoo mzima umejaa piss kali historia ya mke wake inachekesha sana,yeye na Mkapa walikuwa marafiki kitambo sana ,sasa mwalimu akataka kuwapa ubalozi,ndio ikaonekana Ruhinda hana mke akaambiwa bila ndoa No ubalozi ,ikabidi aokote mke fastafasta na kufunga nae ndoa .amekufa katika mazingira magumu maana mke alishatangulia,hizo piss unazozisema zilikuwa busy na mambo yao huku mzee sukari inammaliza akihudumiwa na houseboy
Unajenga kisa ukifa uonekane na wewe ama usidharaulike. Fanya Mambo yako Ila sio kuangalia ulimwengu. Wewe kwenu unakuja mjini una miaka 15 unakuja kurudipo una miaka 80+ yaani unasubiria Kufa ama ukiwa marehemu Sasa Hilo limjengo utakalowekeza hapo kwenu litatoa faida gani. Yaani ukazike bilioni of money with no return hata nyumba huwezi pangisha ikakupa return. Msifanye Mambo kwa mkumbo ama just to satisfy your environment. Elewa hata Elon musk akapanga hana nyumba na uelewe nyumba ni liability. Watt wako wenyewe ama wewe mwenyewe siku unazoishi ulipozaliwa zinahesabika.Ni kweli nyumbani Ni nyumbani..inaweza kua FEDHEHA KUBWA ukipata matatizo ikabid urudishwe nyumbani.
Kama Yule msanii wa bongo muvi alivyo pata FEDHEHA KUBWA kwenye msiba wa mama yake..
Hata wanyama wakipata penye chakula maji na malisho wanahamia hapo wanasahau kule pa asili.Kama mwenyewe alipachukia kwo akiwa hai unadhni baada ya kufa ndo atapapenda?
La nini huku haishipo siku za kwenda zinahesabikaHata lissu kijijini kwao kashajenga jumba kubwa sana
Kuna jamaa yangu karibu kajenga nyumba kubwa home kwao tokea 1998 Ile nyumba alitumia pesa nyingi mno na haimuingizii ama haileti faida ama pesa yoyote yaani hawezi pangisha . Nyumba inafungwa zaidi ya mwaka. Naye alijenga kwa mihemuko ya kijamii. Kuna muda ukisikiliza jamii unapotea fanya unaloona kwako ni sahihi.Hili hua la msingi sana tatizo wengi watoka vijijini hujifanya kwao mjini
Aibu ya nini kwani. Ni lazima kwani uridhishe ulimwengu or just for your self esteem or ego boosting and boasting before othersVijana wadogo hawawezi kutambua Hilo mpaka yawakute..
Sijazingatia hao magavana ila nimezingatia jamaa wa kuitwa jiwe.Hivi,yule alikuwa wa nchi gani?Usichanganye haya majina,hawa sio ndugu kabisa,gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa kwao,watu hawani watu maarufu waliofanyia makubwa nchi hii,japo gavana alifariki akiwa hajafikisha hata miaka 50 alikuwa amejenga hekalu London na mikocheni DSM,cha ajabu kwao Ngara alijenga nyumba ya kawaida sana hata mimi ninaweza kuijenga,sasa kamati ya mazishi ikawaza ikawazua ikasema hapana,huyuni mtu mkubwa msiba wake watahudhuria vigogo akiwemo Rais Mwinyi,tumzike hapa hapa,japo alifia London akazikwa Buguruni Malapa,kaburi lake lipo hata leo,
Prince Ferdinand Ruhinda yeye sina taharifa za kujenga kwao au kutojenga ila ajiwa mtoto wa chifu wa nwisho wa Karagwe inashangaza kwa yeye kuzikwa Dar kutokana na mila ba desturi za kwao,kijana wa kiume huzikwa alipozikwa baba yake unless otherwise.
Kuna UMASKINI na Kuna UMASKINI WA KUTUPA..Aibu ya nini kwani. Ni lazima kwani uridhishe ulimwengu or just for your self esteem or ego boosting and boasting before others
Kumbe Pascal Mayalla na wewe muhuni 😂Amejaaliwa mabinti pisi kali 3, kumbe ni Abahima wa ukoo wa Mkama Rumanyika!. Mabinti wa Abahima... sii mchezo!ila kazkaz ni Abahiru!
P
Zamani enzi za ujana!, ningekuwa enzi zangu, hawa mabinti... lakini sasa naelekea 60!, nimekuwa.Kumbe Pascal Mayalla na wewe muhuni 😂
Kabisa mkuuKuna UMASKINI na Kuna UMASKINI WA KUTUPA..
sio busara Sana ukawa umejenga ufalme wako Dar es salaam or elsewhere.....kula kunywa na starehe na anasa zotee alaf kwenu unapa sahau kiasi hata mwenyewe kupakataa
Wangapi wamewai kupa kataa kwao hata wazazi na ndugu zao kuwakana kisa wamepauka na kua choka mbaya...
Refer wimbo wa TMK WANAUME_NYUMBANI NI NYUMBANI 😊😊
Ferdinand Kamuntu Ruhinda alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamin William Mkapa.Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa kwao,watu hawani watu maarufu waliofanyia makubwa nchi hii, japo gavana alifariki akiwa hajafikisha hata miaka 50 alikuwa amejenga hekalu London na mikocheni DSM,cha ajabu kwao Ngara alijenga nyumba ya kawaida sana hata mimi ninaweza kuijenga,sasa kamati ya mazishi ikawaza ikawazua ikasema hapana,huyuni mtu mkubwa msiba wake watahudhuria vigogo akiwemo Rais Mwinyi,tumzike hapa hapa,japo alifia London akazikwa Buguruni Malapa,kaburi lake lipo hata leo,
Prince Ferdinand Ruhinda yeye sina taharifa za kujenga kwao au kutojenga ila ajiwa mtoto wa chifu wa nwisho wa Karagwe inashangaza kwa yeye kuzikwa Dar kutokana na mila ba desturi za kwao,kijana wa kiume huzikwa alipozikwa baba yake unless otherwise.
Hao walikuwa marafiki sana, kwa muda mrefu kitaaluma wote ni waandishi wa habari,mkapanara kadhaa alikwenda karagweFerdinand Kamuntu Ruhinda alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamin William Mkapa.
Kwenye maelezo yake ya awali jana, ambayo ni ushuhuda wa urafiki wao huo uliodumu kwa zaidi ya miaka 50, Ruhinda alieleza jinsi uhusiano wao ulivyoanza na kuimarika.
Leo Balozi huyu wa zamani nchini Canada na China anasimulia jinsi alivyomsaidia rafiki yake kwenye harakati za uchaguzi wa kwanza wa urais wa vyama vingi hapo mwaka 1995 ambapo Mkapa alishinda.
AzamTV on Instagram: "Ferdinand Kamuntu Ruhinda alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamin William Mkapa. Kwenye maelezo yake ya awali jana, ambayo ni ushuhuda wa urafiki wao huo uliodumu kwa zaidi ya miaka 50, Ruhinda
873 likes, 4 comments - azamtvtz on August 11, 2020: "Ferdinand Kamuntu Ruhinda alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamin William Mkapa. Kwenye maelezo yake ya awali jana, ambayo ni ushuhuda wa urafiki wao huo uliodumu kwa zaidi ya miaka 50, Ruhinda alieleza...www.instagram.com
Why Sasa upo mjini na hapa ukipata gap la kusepa USA na familia yako wakasome huko huko na mnakuwa raia mbona fasta kabla jogoo hajawika umeshafika airport.Kuna UMASKINI na Kuna UMASKINI WA KUTUPA..
sio busara Sana ukawa umejenga ufalme wako Dar es salaam or elsewhere.....kula kunywa na starehe na anasa zotee alaf kwenu unapa sahau kiasi hata mwenyewe kupakataa
Wangapi wamewai kupa kataa kwao hata wazazi na ndugu zao kuwakana kisa wamepauka na kua choka mbaya...
Refer wimbo wa TMK WANAUME_NYUMBANI NI NYUMBANI 😊😊
Binti yake mmoja aliolewa na mtangazaji wa zamani wa clouds na sasa UN ,Anorld KayandaAmejaaliwa mabinti pisi kali 3, kumbe ni Abahima wa ukoo wa Mkama Rumanyika!. Mabinti wa Abahima... sii mchezo!ila kazkaz ni Abahiru!
P
Balozi Ruhinda ndie aliyekua mmoja wa waanzilishi wa gazeti la mwananchi na akiwa na RostamFerdinand Kamuntu Ruhinda alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamin William Mkapa.