Chukua LIKE..Jussa kasema ukweli.Jusa hataki unafiki wa kusubiri mtu afe eti ndo utoe mijisifa kwa marehemu
Jusa hataki unafiki wa kusubiri mtu afe eti ndo utoe mijisifa kwa marehemu
Hmm...siku hizi huyo Lissu mnamsifia utadhani ni bonge la genius wakati majuzi tu hapa mlikuwa mnadhihaki.
Kikwete mwenyewe anamwelewa vizuri sana.
Lisu peke yake ni sawa na wabunge mia mbili wa ccm.!
Taratibu CUF wanatakuwa na wakati mgumu sana wa kuchagua upande..Jussa na wengize si walidhani Lissue haipendi Zenj, sasa watahitaji reconcialte ktk akili zao watakapokuja jua kuwa kupitia kwa Lissu ndipo watafikia malengo ambayo walikuwa wakiyaota.Yaani ufafanuzi makini na sheria zilizoonyooka bila kinyongo ili wazenj wapewe serikali inayoeleweka na bara pia na ya kitaifa km Federal government.Jusa hataki unafiki wa kusubiri mtu afe eti ndo utoe mijisifa kwa marehemu
yes, watu makini wanasemaga 'we have neither a permanent friend nor permanent enemy, but a permanent interest'Naona Leo mnamsifia JUSSA kwa sababu kamsifia Lissu, vijana wa CHADEMA mnabadilika kutokana na mazingira.
Naona Leo mnamsifia JUSSA kwa sababu kamsifia Lissu, vijana wa CHADEMA mnabadilika kutokana na mazingira.
Ccm hawaupendi huu ukweli! Lkn ilikua Ni jambo zuri kwa taifa kujivunia Kua Na watu Km Hawa bila kujali itikadi za kisiasa!
Mfano tuko na Mh Lipumba, Huyu mtu amefanya kz mpk nje ktk taaluma yake ya uchumi! Ni vzr sn kwa taifa kuwatumia watu Km Hawa ktk kujenga taifa sio kuwaterekeza!
Hapo kwenye Bold ulitaka kusema nini!?
Issue ya Lipumba, kuna watanzania zaidi ya 20,000 wapo nje ya nchi wanafanya kazi za kitaluuma! Wala usifikiri kuwa Prof. Lipumba ni exceptional sana..wapo watu wanafanya kazi huko nje miaka nenda rudi, tatizo kwa vile Lipumba yupo kwenye siasa na hazimsaidii!