Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

Ningemjibu hivi .
Asante Mh. Rais naomba madodoso ya majibu ya sensa yatumike kwa matumizi sahihi kwa maendeleo ya wote na yasitumike kwa Nia ovu.
 
Wewe jamaa ni li pumbavu sana, upo kama malaya malaya hivi kutwa kulamba lamba makalio watawala.
 
Sycophant and a Hypocrite on duty!!!
 
Mkuu baada ya kukimbiwa na Yule Mwanamke wako akaenda kuolewa ulaya, akili Yako haijawahi kuwa Vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mayala naona umekuwa mshamba aisee.Tuko nchi ya kidigutari kwa hiyo Mie naona kawaida tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…