Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningemjibu hivi .Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Baby kausha bhana[emoji1787]Kwahiyo Rais kakutumia ujumbe?[emoji1787][emoji1787]
Mimi ningemshukuru na kumkumbusha kushusha tozo hadi sh.100 kwa mwamalaMimi ningemjibu ''acha kunitumia meseji za kijinga kwenye simu yangu, Kwanza nani kakupa namba yangu!?
Yani mpaka anatia aibuUnajikomba sana kisa ubunge wa EALA
Wewe jamaa ni li pumbavu sana, upo kama malaya malaya hivi kutwa kulamba lamba makalio watawala.Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Psychological damage in place.Hata matapeli wanatumaga hizo sms mkuu.
Kikubwa cha kuanzishia uzi ni nini mkuu.
Una tatizo mahali🚮🚮🚮🚮
Sycophant and a Hypocrite on duty!!!Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Mkuu baada ya kukimbiwa na Yule Mwanamke wako akaenda kuolewa ulaya, akili Yako haijawahi kuwa Vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Mayala naona umekuwa mshamba aisee.Tuko nchi ya kidigutari kwa hiyo Mie naona kawaida tu!!Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.