Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

Nimechoka na txt za sensa nimamua tu kublock nisubiri kuhesabiwa

Mie nimetumiwa hizo sms mbili, Moja ikijieleza imetoka Kwa rais wa jamhuri na nyingine wa Zanzibar.

Sijaelewa tunapoambiwa personal sms inamaanisha Nini wakati nnachojua wametuma tu Kwa namba za simu walizonazo na hazisemi ndugu The Monk au Bi Evelyn Salt Kisha maelezo mengine yafuate...

Haiwezekani kuwakoromea kidogo makampuni ya simu kutulazimisha kupokea hizi sms?

Umehesabiwa?
 
Pascal bwana 😂😂😂😂
 
Nilichomuelewa Pascal anaomba ajira ila style alivyoitumia ni ya kitoto sana kweli nimeamini ukizeeka akili zinarudi za kitoto

P gia uliyoingia nayo haikutoi unaonyesha jinsi ulivyo kata tamaa unatamani upate sehemu ujishikishe upate ugali siku ziende usubiri siku yako

Any way Mungu akupe wepesi maisha ni strategic mapambano
 
Sijahesabiwa boss, nimewawekea taarifa tayari....
 
Tutakua lini??? Ni tumbo tuu linatunyanganya akili.
Sensa ni yetu sisi wananchi sii ya raisi wala kiongozi yeyote. Chama,kabila au dini yoyote. Ni wajibu wa raia wa Tanzani kusaidia serekali kukamilisha sensa hii kwa ukamilifu unaostahili ili kuwezeaha serekali kupanga mipango yake ya maendeleo kikamilifu. Hili si swala na raisi bali ni la watanzania wote.
 
Mayala, hiyo ni push message usizuzuke. Cha muhimu pambana na kutafuta hela za kuweza kulisha familia yako. Mambo mengine waachie, usije mwishowe ukaitwa chawa. Uhuru na kazi.
 
Halafu kuna MaCHADEMA yanaropoka huko kama mazuzu wakati nchi inajengwa na gaidi kaufyata.
 
Acha kujikomba
 
"Ndugu mwandishi nguli, mtangazaji na mwanasheria ninakushauri kwa dhati ya moyo wangu ACHANA na na SIASA kwa mtindo wa kujipendekeza (flattering) jikite kwenye uandishi wa vitabu kwa mabo ya taaluma uliyosomea pamoja na falsafa hautakuja kunisahau kamwe..........", mwisho wa kunukuu wazo langu mwenyewe.. Ukishupaza shingo mwishowe........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…