raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Unakipendekeza tuKwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani kutoka kwake.
Vipi wewe mwenzagu ungemwambia nini Mama baada ya yeye kukutumia SMS?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa, tuko tayari kuhesabiwa na tutajiibu maswali kwa usahihi.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Jee na yeye mtamparura, kumbeza na kumtukana kama mlivyo nifanya mimi?.View attachment 2332646
Zitto ahesabiwa ampa tano mama Samia.
Zitto Kabwe kamaliza kuhesabiwa ana furaha kubwa Sana baada ya kupokea ujumbe wa simu kutoka kwa rais Samia ambapo naye aliuforward kwa m/kiti Mbowe incase Kama hakupata wake,
Kama sensa ingefanyika mwaka kati ya 2016 na 2020 unategemea sms ingesomekajeNani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi nimepokea na nyingine kutoka Kiembembuzi na Kiembesamaki ikisema Mimi Dr."Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi"
Unakipendekeza tu
Kwanza aliyetuma siyo Samia
Hii ni SMS kama za promotion kwenye mitandao ya simu
SMS ile ya Mama kuhusu sensa ilikuwa inajibika na majibu yalikuwa yanaenda na unapata kabisa na DELIVERY REPORT. Ile ya Rais wa SMZ nayo pia ilikuwa inajibika isipokuwa yenyewe ilikuwa haileti DELIVERY REPORTKwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani kutoka kwake.
Vipi wewe mwenzagu ungemwambia nini Mama baada ya yeye kukutumia SMS?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa, tuko tayari kuhesabiwa na tutajiibu maswali kwa usahihi.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Update
Mtu mwingine aliyefurahia kupokea ujumbe huu ni huyu
Jee na yeye mtamparura, kumbeza na kumtukana kama mlivyo nifanya mimi?.
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kanitumia hiyo meseji. Nawasiliana na mwanasheria wangu maana nimesumbuliwa kisaikolojia.
Nani kampa namba yangu? Ameruhusiwa na nani kunisumbua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oh masikini wee!
One man down! i repeat, one man down.
Hata aibu hana!!!Yani wewe jamaa kadiri siku zinavyosogea unashuka standards.
Yani push messages ndio unadanganya watu zimetoka moja kwa moja kwa rais?
Hizo texts si ndio mlikuwa mnazitumia kwenye uchafuzi mkuu za kumuombea kura jiwe baada ya kampuni za simu kushurutishwa na mkalabel jina la Tundu Lissu as "spam" kuelekea zoezi .
Historia huwa haidanganyi ila ni gharama kubwa kutetea uongo.
This is embarrassing and too low from you.
Mkuu Matrix19 watu hatulingani uelewa na hatufanani, sisi wengine ni washamba Sana!Yani wewe jamaa kadiri siku zinavyosogea unashuka standards.
Wangapi wanajua mambo ya push SMS?, nimepokea SMS ya Samia, inasema "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha.. " mtu asiye na uelewa na hayo mambo ya push SMS, atajuaje?. Mimi nimepokea SMS ya Rais wangu, kwa nini nisifurahi?.Yani push messages ndio unadanganya watu zimetoka moja kwa moja kwa rais?
Kwa sisi wengine, it's not embarrassing kuwa mashamba, Mimi ni mshamba fulani tuu, na mtu kuwa mshamba sio kosa!.This is embarrassing and too low from you.
Halafu si yeye anayetuma..!!! Bulk sms imefanya kaziHata matapeli wanatumaga hizo sms mkuu.
Kikubwa cha kuanzishia uzi ni nini mkuu.
Una tatizo mahali🚮🚮🚮🚮