Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

Paschal C'mon you're more than that.

Huwezi kuwa unatumika mpaka standards zako zinakuwa mediocre.

Yaani wengi hapa jamvini wanajua "chawa" ni vijana sasa unawaminisha uchawa hauna rika hadi wazee wanatumika sasa kama govt propaganda machinery.
 
Kufurahi au kutofurahi ni hiari yenu na wenzako unaowasema.
Tatizo ni pale unapotaka kuaminisha kadamnasi kwamba; kupokea hizo sms ni jambo kubwa!
Mtu wa kawaida mshamba kama mimi asiyejua mambo ya push sms, akipokea sms hiyo si ni ataamini ni kutoka kwa Mama?, kwanini asifurahi Mama kamtumia sms?.
Acheni sisi watu wa kufurahi, tufurahi!.
P
 
Kufurahi au kutofurahi ni hiari yenu na wenzako unaowasema.
Tatizo ni pale unapotaka kuaminisha kadamnasi kwamba; kupokea hizo sms ni jambo kubwa!
Mkuu Mchokoo usituletee mambo yako ya ki... (jina lako) hapa, sisi binadamu tunatofautiana sana levels za ushamba, kuna sisi wengine tumekwea pipa toka tuko wadogo, hivyo tukikwea leo hatupigi picha wala kutuma status, wakati wale ambao ni mara yao ya kwanza, kwao its a big thing its a big deal!. Mimi mwenzenu hii ndio mara yangu ya kwanza kupokea sms ya rais wangu, hivyo its a big thing!. Acheni tuu washamba tufurahi!. Hata sisi tukiwa kwenye pipa, hatuwashangai wanaohangaika kuji selfisha, tunawaacha!, mtuache!. Tena sms ile siifuti naiacha as a souvenir!, SMS ya rais sio kitu kidogo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…