Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti.

Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute !!

nichukue nafasi hii kuwapongeza mna kikosi kipana.
 
Sikutegemea kabisa haya matokeo kwa kikosi kilichowkosa key players kama Pacome, Yao na Auicho, Nilikdiri hazipungui nne za kuwafutia simba aibu ya kipigo cha jana ila mambo yamekuwa sivyo ndivyo

Hongera sana wananchi
mmejitahidi lakini safari imeishia hapa
 
Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
 
Yanga hamkosagi visingizio....si mtaenda kwao mko full kikosi? Tutaona
 
Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
ikwaje sasa kama ilikuwa kari? Simba iki.kosa tu mtu kama Chama ndio kwisha habari
 
Back
Top Bottom