kagwima
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,278
- 1,630
Taka takaKwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taka takaKwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Kwa sasa wanasema kule kwao ndio wanamaliza kazi, wajinga hawaKuna watu walisema Mamelodi hana nyumbani wala ugenini. Naona wanabadili maneno
Wimbo wa Mamelod hana ugenini wala nyumbani umebadilika?Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Hao Rage alishamaliza kila kitu. achana nao.Azam ndio timu Gani CAF.
Umekurupuka mkuu
tuwapongeze tu watani, si kama tulivyotegemeaKwaio umeridhika na iyo droo
masuala ya majeraha hayanaga uhakika, ni heri kukadiria kitacheza kikosi hikihiki.Aucho, Pacome & Yao Watakuwa Wamerejea
Nachojua utopolo walijiaminisha watachukua point tatu Tena kwa kiwapigia ubuntu mpira mkubwatuwapongeze tu watani, si kama tulivyotegemea
Sawa hatujakataa ilikuwa Kali. Je mlishinda goli ngapi?Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Tutaiona Tabora united au sioYanga hamkosagi visingizio....si mtaenda kwao mko full kikosi? Tutaona
Huna jipyaNilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti.
Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani [emoji23] ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute !!
nichukue nafasi hii kuwapongeza mna kikosi kipana.
So what,?Ball possession
YANGA 8%
MAMELOD 92%
Wangefunguka tu yangewapata ya makolokochoNilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti.
Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute !!
nichukue nafasi hii kuwapongeza mna kikosi kipana.
Hatuja cheza kutafta mechi iwe kali hongereni kwa kupoteza mechi nyumbani na ku possess mpiraKwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Tuliza k hiyoo...Mechi ya Azam hawakuwepo
Hata simba angepata sare nyinyi mashabiki mavimaandazi mngesema underdog wanashangilia sare..kila timu ishinde mipango yake.Kuna watu jana walishambulia sana kuitafuta hiyo sare wakashindwa. Kama sare ni kitu chepesi mngeipata jana. Au matokeo yenu ya jana mmeyasahau dakika tano tayari ubao umeshabadilika.