mmejitahidi lakini safari imeishia hapaSikutegemea kabisa haya matokeo kwa kikosi kilichowkosa key players kama Pacome, Yao na Auicho, Nilikdiri hazipungui nne za kuwafutia simba aibu ya kipigo cha jana ila mambo yamekuwa sivyo ndivyo
Hongera sana wananchi
Azam ndio timu Gani CAF.Mechi ya Azam hawakuwepo
Ball possession
YANGA 8%
MAMELOD 92%
Wivu utakuuaBall possession
YANGA 8%
MAMELOD 92%
Kuna watu jana walishambulia sana kuitafuta hiyo sare wakashindwa. Kama sare ni kitu chepesi mngeipata jana. Au matokeo yenu ya jana mmeyasahau dakika tano tayari ubao umeshabadilika.Ndio maana halisi ya underdog kushangilia sare
Na alie fungwa ila akaongoza possession.Ndio maana halisi ya underdog kushangilia sare
Unajifariji sanaMechi ya Azam hawakuwepo
Maumivu yakizidi Muone daktari..🤣🤣🤣🤣🤣Yanga hamkosagi visingizio....si mtaenda kwao mko full kikosi? Tutaona
ikwaje sasa kama ilikuwa kari? Simba iki.kosa tu mtu kama Chama ndio kwisha habariKwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii