Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

Kwa Kikosi Hiki Tulichochezesha Leo Nimeshukuru Kupata Sare.

Na Imani South Tutaoneshana Ubavu Na Masandawana Vizuri.

Aucho, Pacome & Yao Watakuwa Wamerejea
 
Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Sawa hatujakataa ilikuwa Kali. Je mlishinda goli ngapi?
 
Mbumbumbu aandaeni kondomu mnaenda kuliwa na Mwarabu kule kwao.
 
Huna jipya
 
Wangefunguka tu yangewapata ya makolokocho
 
Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Hatuja cheza kutafta mechi iwe kali hongereni kwa kupoteza mechi nyumbani na ku possess mpira
 
Hapa mamelod kama kacheza na mbeya kwanza au mbuni Fc
 

Attachments

  • 20240330_215850.jpg
    1.9 MB · Views: 2
Kuna watu jana walishambulia sana kuitafuta hiyo sare wakashindwa. Kama sare ni kitu chepesi mngeipata jana. Au matokeo yenu ya jana mmeyasahau dakika tano tayari ubao umeshabadilika.
Hata simba angepata sare nyinyi mashabiki mavimaandazi mngesema underdog wanashangilia sare..kila timu ishinde mipango yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…