Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti.

Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani
 
Weekend hii tumeshuhudia mitanange minne ya robo fainali mzunguko wa kwanza wa kilabu bigwa Africa,Simba ndo timu pekee iliyoruhuzu goli, na goli hilo ndo limekiwa la ushindi Kwa Alahyl na Alahyl katanguliza mguu mmoja nusu fainali ,mechi zingine tatu matokeo yake ni

Tp mazembe 0 - Petro Luanda 0
Yanga Sc 0 - mamelodi sunddowns 0
Esperance0- Asec memosas 0
Na matokeo haya matatu Bado hayajatoa nani hasa ataenda hatua inayofuata ukizingatia drop zilizopatikana ni tasa hivo hata timu mgeni wa mzunguko wa pili ananafasi nzuri ya kusonga mbele.

Kwa matokea haya Simba ajifunze kucheza mechi za mtoano kwani mbinu zake zinabadilika na waache kuingia na matokeo mfukoni .
 
Hongereni aisee...

Mamelodi wameyakanyaga.....ngoja kina Pacome warudi watajua hawajui.
 
Kwa kupaki bus nyumbani? Ngoja muende kwao na kikosi kamili sijui mtaficha wapi sura... BTW game ya Simba na Al Ahly ilikua kali kuliko hii
Lakini mukakalia kimoja.
 
Key players walikosekana kwenye game dhidi ya mpinzani mgumu, mechi ikaisha sifa zikaenda kwa uongozi kwamba mna kikosi kipana.

Mechi dhidi ya Tabora wamekosekana key players, mechi imeisha kwa kupoteza bao 3 mmeitisha mkutano wa dharula na Gamondi yupo kikaangoni. Tena usiku wa manane.

Mnatuchanganya, hatujui ni muda gani key players wakikosekana matokeo yatayopatikana lawama ziende kwa kocha na muda gani key players hao hao wakikosekana matokeo yakija pongezi ziende kwa uongozi kwasababu ya upana wa kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…