Huu ni mwiba kwa ma ukawa. Maana yalishaanza oooo diamond basi tena amekwisha kaingia ccm. Jamani mtu na chama chake. Wasanii wa ukawa hata hata award za kata hawawezi kuwa nominated. Viva diamond, kura yangu ni kwa Magufuri
Hongera Mondi bin awards
Ila wabongo ni noma washavamia page ya insta ya priyanca chopra na kuanza kumzonga tena kwa kiswahili 😂😂😂😂 kweli atajutaa
Azingatie tuu masharti, akikosea shauri yake
Ushindi wa mezani mtu kapewa