Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

Huu ni mwiba kwa ma ukawa. Maana yalishaanza oooo diamond basi tena amekwisha kaingia ccm. Jamani mtu na chama chake. Wasanii wa ukawa hata hata award za kata hawawezi kuwa nominated. Viva diamond, kura yangu ni kwa Magufuri

Kura yangu kwa lowassa but ni shabiki wa diamond platinumz hata sie ukawa pamoja na raisi lowassa tunamvotia sana
 
Hongera Mondi bin awards

Ila wabongo ni noma washavamia page ya insta ya priyanca chopra na kuanza kumzonga tena kwa kiswahili 😂😂😂😂 kweli atajutaa

Hivi Wema sepetu hajaanza kumuombea kura priyanka chopra akidhani atampa nafasi ya kucheza nae movie za kihindi
 
Hii sasa sifa. Khaaaa!
...mbona naona km KTMA wanavuliwa nguo mchana kweupe!

Congrat's Chibu.
 
Acha tu wakuite mchawi mara free mason aisee, unaboa etii??? Manake Tuzo zingine ndio kwanza naanza kuziskia kwako
 
DIAMOND......Kweli majina huumba, ungejiita Dudubaya ungekoma......au Mzee Mnyama, yeye anatembelea selo kila kukicha.

HONGERA BABA.
 
Kupiga kura ingia link hii ⬇ inakupeleka category yake afu piga kura mara nyingi uwezavyo, unabonya neno vote pembeni ya picha ya diamond afu jibu unalopewa unakuwa unalikata (cancel) ili kuendelea kupiga kura, hata mara 20000 ili aibuke kinara best worldwide act kati ya washindi 6 duniani wataopatikana kwenye hiyo category (America, Europe, etc)

⬇
⬇

MTV EMA 2015 | 25.10.2015 | Milan | Vote
 
Ushindi wa mezani mtu kapewa

Hata akitembea juu ya maji utadai anatumia skate boards.
Huoni aibu kupinga vilivyo wazi mbona sis wenzio tumekubali au unadhani ushabiki ni kupinga yaliyo wazi.
 
Hongera mingi mingi Chibu wetu mume ake Zari pia Baba Tiffah
 
Back
Top Bottom