GE2025 JUST NEW: ICC Launches Preliminary Examination into Post-Election Deaths in Tanzania

GE2025 JUST NEW: ICC Launches Preliminary Examination into Post-Election Deaths in Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
I saw this earl story from outside the country media reports about our issues.

View attachment 3497372

Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi...

View attachment 3497374

View attachment 3497375

Hizo ni sehemu ya chapisho nililoliona...
Hii habari ni ya uongo. Imetengenezwa picha picha tu. Na waliotengeneza ni hao hao wanamtandao, ili kupunguza nguvu ya kusukuma hili mbele, watu waamini eti tayari kuna uchunguzi wa awali umeanza. Ukitaka kujua ni uongo. Nenda website ya ICC, habari ya mauaji ya Sudan ya juzi ipo, ila hii ya Tz haipo. Nenda kwenye list ya Preliminary Examinations, hii haimo. Wana mtandao wapo mbele ya muda, kujitungisha vistori na kuweka vipicha picha uongo, ili ushahidi serious usiendelee kusukumwa kwenda the Hague.

Moderator , iwekwe hii "SI KWELI"
 
Hii nchi kwenye mambo ya kimitandao wewe nenda nayo hivyo hivyo, ukishupaza fuvu, utaanza kuota mvi....
Ni warahisi sana kuchotwa akili....
 
Yaani kawapigia kura na risasi wamemtandika? Safi sana. Alistahili.
Yeah, alikuwa anarudi kupiga kura, ile anaingia mtaani ndo jamaa wakavamia mtaa..wakakutana nae barabarani nadhani alijiamini kwamba kwa kuwa hakimbii na anakidole chenye rangi basi watamuacha aende..oya wakamuwasha kila mtu anaona...ikabidi chap akachukuliwe huku analia anaonesha kidole kwamba kawapigia kura ila wamemtwanga risasi.
 
Back
Top Bottom