GE2025 JUST NEW: ICC Launches Preliminary Examination into Post-Election Deaths in Tanzania

GE2025 JUST NEW: ICC Launches Preliminary Examination into Post-Election Deaths in Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shangazi yangu kapoteza watoto wawili mmoja katoka kupiga kura mwingine katoka buchani kaka yao anachofikiri kukifanya dhidi ya serikali ni kitu cha ajabu watu watajitoa Muanga hii nchi kutawalika itakua ngumu sana
At this point , ni rahis sana kumshawish myu kuvaa suicide bombs, ama kujitoa muhanga
Hasira si za kawaida
 
Wewe kupoteza ndugu zako wawili ghafla unabaki peke yako dogo alikua sheria mwaka mwisho mmoja mwingine wa kike kidato cha sita huyu mwanasheria alikua CCM damu damu comredi mwezangu nilikua namtania sana but kaka ni hatari wanaosema watawala juu za damu za watu wanajidanganya
Unaanzaje kupiga kura uchaguzi kama huu?

Huyo ni Mwanasheria kabisa angetakiwa kuwa smart zaidi ya hapo.
 
Eehhh..Mungu wanguuu nyie nyie acheni tu acheni kuna dogo kapigwa shaba alikua amekaa ndani yaani ni balaa
Hii nchi huyu mama kashaiharibu tayari
Bomu alilotengeneza halifai
Tuombe Mungu sana UGAIDI usijitokeze Tanzania kwasababu ndio hatari zaidi, ulipuaji wa kushtukiza na usiotegemewa
 
At this point , ni rahis sana kumshawish myu kuvaa suicide bombs, ama kujitoa muhanga
Hasira si za kawaida
Kocha huyu ndugu yangu huwa ni kibovu toka tunasoma akiamua jambo lake ndo imeisha hiyo Shangazi anamuomba sana atulie lakini nachojua imeisha hiyo Kama wanafikiri watatawala kwa Amani juu ya damu za watu alafu mnaita watoto watu wahalifu
 
Dah huku Jf bado watu wana hasira sana,mi nawashauri wakuu tusonge mbele,tujenge nchi yetu,
Hili nalo litapita na tutasahau maana bado tupo kwenye Denial stage!!
Haya yaliyotekea sio Tz tu hata nchi zingine zimepitia,
Sema sisi ndo kwanza kwa mara ya kwanza..!
 
Back
Top Bottom