Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Samia akamatwe kwa kuua watu wasio na hatia, Mange Kimambi na Maria Tsehai hawana makosa.ICC imkamate kwanza Mange Kimambi na Maria.
Samia akamatwe kwa kuua watu wasio na hatia, Mange Kimambi na Maria Tsehai hawana makosa.ICC imkamate kwanza Mange Kimambi na Maria.
Sasa ngoja tuone kama sii nyie wapambe wa wauaji na watekaji na sio wanaofichua uovu wa wauaji.ICC imkamate kwanza Mange Kimambi na Maria.
ICC wanafanya siasa kwa super power tuHao jamaa nao siasa mingi sana!
Japo na Mimi ni miongoni mwa watu wanaomchukia Samia na nitafurahi ikiwa atashikishwa adabu,hii habari ni ya uongo,haiko ICC,haiwezekani kuwa mapema hiviI saw this earl story from outside the country media reports about our issues.
View attachment 3497372
Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi...
View attachment 3497374
View attachment 3497375
Hizo ni sehemu ya chapisho nililoliona...
ICC ishughulikie hao mashetani haraka sana. Faki zem all.I saw this earl story from outside the country media reports about our issues.
View attachment 3497372
Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi...
View attachment 3497374
View attachment 3497375
Hizo ni sehemu ya chapisho nililoliona...
Ndio hao the queen of evils anawaita foreigners. Gadhabu ya Mwenyezi Mungu imshukie yeye na descendants wake wote!Shangazi yangu kapoteza watoto wawili mmoja katoka kupiga kura mwingine katoka buchani kaka yao anachofikiri kukifanya dhidi ya serikali ni kitu cha ajabu watu watajitoa Muanga hii nchi kutawalika itakua ngumu sana
Walionywa sana kua risasi haitotambua mpiga kura wala wa kutoka wakakaza fuvu…Kuna jamaa mtaani katandikwa ya mguu..anaonesha kidole huku analia, anasema hakiyaMungu nimewapigia kura mimi..wtu wakabeba kumpeleka hospitali.Now karudi ila nadhani kajifunza
Tatizo yakitokea haya Serikali inatafuta namna flan ya kunegotiate nao chap kwa kupitia hoja za Tourism na kusema kuwa Amani iliyopo TZ ni kwasababu ya CCM na hao wapinzani ni Magaidi wenye uhusiano na vikundi vikubwa vya kigaidi ndio maana wanwaweka ndani...na wanadai wapinzani wana lengo la kuharibu Investments za wazungu zilizopo hapa nchini...Hao jamaa nao siasa mingi sana!
Wanasiasa waliotuhumiwa kuchochea machafuko ya baada ya uchaguzi nchini Kenya 2007 ndiyo hao UHURUTO!!ICC wanafanya siasa kwa super power tu
Eehhh..Mungu wanguuu nyie nyie acheni tu acheni kuna dogo kapigwa shaba alikua amekaa ndani yaani ni balaaShangazi yangu kapoteza watoto wawili mmoja katoka kupiga kura mwingine katoka buchani kaka yao anachofikiri kukifanya dhidi ya serikali ni kitu cha ajabu watu watajitoa Muanga hii nchi kutawalika itakua ngumu sana
DuhhhYeah, alikuwa anarudi kupiga kura, ile anaingia mtaani ndo jamaa wakavamia mtaa..wakakutana nae barabarani nadhani alijiamini kwamba kwa kuwa hakimbii na anakidole chenye rangi basi watamuacha aende..oya wakamuwasha kila mtu anaona...ikabidi chap akachukuliwe huku analia anaonesha kidole kwamba kawapigia kura ila wamemtwanga risasi.
Akihitaji msaada let me know ASAPShangazi yangu kapoteza watoto wawili mmoja katoka kupiga kura mwingine katoka buchani kaka yao anachofikiri kukifanya dhidi ya serikali ni kitu cha ajabu watu watajitoa Muanga hii nchi kutawalika itakua ngumu sana
Pole sana kwa mama na huyo kaka. Hayo maumivu ya huyo mama hayawezi kuelezekaWewe kupoteza ndugu zako wawili ghafla unabaki peke yako dogo alikua sheria mwaka mwisho mmoja mwingine wa kike kidato cha sita huyu mwanasheria alikua CCM damu damu comredi mwezangu nilikua namtania sana but kaka ni hatari wanaosema watawala juu za damu za watu wanajidanganya
Wanasema kipindi kile cha Kenya ushahidi haukujitosheleza. Mitandao ya kijamii ilikuwa haijashamiri kama sasa hivi.Wanasiasa waliotuhumiwa kuchochea machafuko ya baada ya uchaguzi nchini Kenya 2007 ndiyo hao UHURUTO!!
Hiyo 🔗 siyo tracking way ya kuwanasa vijana humu?Tumeni ICC picha na video za kuuliwa kwa watanganyika kwenye link yao moja kwa moja link ni https://otplink.icc-cpi.int/