Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
At this point , ni rahis sana kumshawish myu kuvaa suicide bombs, ama kujitoa muhangaShangazi yangu kapoteza watoto wawili mmoja katoka kupiga kura mwingine katoka buchani kaka yao anachofikiri kukifanya dhidi ya serikali ni kitu cha ajabu watu watajitoa Muanga hii nchi kutawalika itakua ngumu sana
Good luck with that🤣🤣🤣🤣ICC imkamate kwanza Mange Kimambi na Maria.
Nafikiri hii ndo ile part unayotakiwa kukaa kwa kutulia.Amepanga kufanya nini
Unaanzaje kupiga kura uchaguzi kama huu?Wewe kupoteza ndugu zako wawili ghafla unabaki peke yako dogo alikua sheria mwaka mwisho mmoja mwingine wa kike kidato cha sita huyu mwanasheria alikua CCM damu damu comredi mwezangu nilikua namtania sana but kaka ni hatari wanaosema watawala juu za damu za watu wanajidanganya
Tuombe Mungu sana UGAIDI usijitokeze Tanzania kwasababu ndio hatari zaidi, ulipuaji wa kushtukiza na usiotegemewaEehhh..Mungu wanguuu nyie nyie acheni tu acheni kuna dogo kapigwa shaba alikua amekaa ndani yaani ni balaa
Hii nchi huyu mama kashaiharibu tayari
Bomu alilotengeneza halifai
Kocha huyu ndugu yangu huwa ni kibovu toka tunasoma akiamua jambo lake ndo imeisha hiyo Shangazi anamuomba sana atulie lakini nachojua imeisha hiyo Kama wanafikiri watatawala kwa Amani juu ya damu za watu alafu mnaita watoto watu wahalifuAt this point , ni rahis sana kumshawish myu kuvaa suicide bombs, ama kujitoa muhanga
Hasira si za kawaida