Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke, sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia, tukutane hapa kujadili mawili matatu.

Kanumba tupo na wewe
Lala salama lakini haki itapatikana.

4fed2c6cda44f21eae0d00cb544aeba4.jpg
 
Rest in peace Steven,Ninaomba kwa Mungu haki itendeke.Aliyesababisha kifo chake nae aumie kwa kupata adhabu kubwa kwa mujibu wa sheria.
Aliemsukuma ahukumiwe vyema
 
Haki ni haki hata kama katangulia haki yake itapatikana tu.
sidhani kama ni kweli yule mtoto alijua yatatokea yale, hata kama asingemsukuma kama inavyodaiwa bado mngemuandama
 
Kila mmoja awe na upande ni sawa sisi tunamuombea heri kanumba kama mnavyomuombea heri mtu wenu
hapana, tuongee kweli, ile imetokea tu, sema kwa kuwa walikuwa pamoja muda wa tukio lile, ndio maana mnamuandama yule mtoto, ila kiukweli, inawezekana hakumsukuma kama inavodaiwa
 
hapana, tuongee kweli, ile imetokea tu, sema kwa kuwa walikuwa pamoja muda wa tukio lile, ndio maana mnamuandama yule mtoto, ila kiukweli, inawezekana hakumsukuma kama inavodaiwa
Alimsukuma akaangukia kisogo.
 
Back
Top Bottom