Dah hiyo rangi ya kanumba ndo ilinifanya nipende wanaume weusi.
Rip kanumba, nilikuwa mpesa post naweka pesa kwenye line yangu .kanumba aliingia kwenye hiyo duka la mpesa wakati naendelea kuongea ma muhudumu, muhudumu akasema nitaje no yangu, nikaitaja kumbe kanumba alikuwa akiiandika, alikuja nikupigia nishatoka dar na na akajieleza alivyopata no yangu, alininibembeleza sana nije dar nilikataa kwasababu nilikuwa na soma, lakini hata hivyo nilimuogopa kwakuwa yeye ni superstar. Lakini pia, sikuwa MTU wa wanaume mda wote nikiwa chuo
Hakukata tamaa kunitafuta siku zote nilisingizia masomo, hapo ilikua ni trh 2/1 /2012, nilipokutana nae posta ,hakukusita kunitafuta, nikamdanganya nikija likija likizo mwezi wa NNE nitamtafuta.
Hatimae mwezi wa NNE tulifunga pasaka nilifika dar akanitafuta nikamwepa nikamwambia Niko kwaresma baada ya ijumaa kuu nitamtafuta, ila nilitaka kumpotezea shoga yangu akanambia " wacha ujinga nitakusindikiza ninywe bia, kwakuwa mm situmii pombe sikuona umuhimu huo,shoga ndo alikuwa akichombeza nikubali kwenda maana yeye mtoto wa mujini afu wa.kishua.
Basi tuliendelea kuwasiliana, nikamuhaidi baada ya ijumaa kuu means jmosi. tho mm sikutaja kwenda ila shoga dah.
Basi ijumaa kuu tukatoka st . p. kusali jioni usiku SAA 3 tukawa tunaangalia tamthilia ya MARA CRALA. Tukaliongelea hilo swala la kwenda j mosi mchana. Na tukalala.
SAA 11 nasikia mama anaongea na simu anasema" masikini kanumba kafa duuuuu nilikurupuka kuwasha TV sikuamini macho yangu.
Kweli sikuwahi kumchukulia serious ila siku hiyo niliumia nikawaza ningekuwa kama wadada wa mjini ambao wanakamata fursa Wenda ningekuwa nishaonana nae. Dah kifo chake ndo kipiniuma na so vinginevyo
Sikuweza hata kuzika maana walizika j4 siku hiyo nikarudi mkoa nilikuwa na test j5.
Niliwaza mengi nikasema may be ndo maana nilikuwa nasita kuonana nae.
Apumzike kwa amani.