Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Mwenyezi Mungu ni mwalimu mzuri sana na anajua kuwaumbua vizuri watu wanaopretend ni wema kumbe wanafanya maasi kwa siri..siwezi kumsupport kanumba..alikuwa anajihusisha kimapenzi ma MTOTO aliye chini ya miaka 18..ni aibu hii.
 
Kila binadamu amezaliwa kwa makusudi maalumu, nadhani kazi ambayo kwayo kanumba aliletwa duniani aliifanya na akaitimiza.Tumuache apumzike kwa Amani tumsameheni tu lulu hakukusudia.
 
Lulu katobolewa ilo shimo akiwa mdogo alikiba kanumba huyu mtt alikuwa anapenda kutobolewa sana itakuwa kanumba akumtoboa vizuri akammaliza
 
sheria itafuata mkondo wake naamini...Tuachie mahakama hili suala
 
Kila binadamu amezaliwa kwa makusudi maalumu, nadhani kazi ambayo kwayo kanumba aliletwa duniani aliifanya na akaitimiza.Tumuache apumzike kwa Amani tumsameheni tu lulu hakukusudia.
Ndio imani yako hiyo?
 
Haikua mahaba dogo alikua anakimbiza sim jamaa asione alikua anaongea na nani kwani angempa sim aone ingekuaje?
Mbona lulu alikula makofi na mabapa ya panga, au kwakuwa hakufa ndio mnamuonea?
 
Hivi mara hii mmesahau mshahara wa dhambi ni nini ? Kanumba alikuwa anazini na Lulu tena huyo Lulu akiwa Unger Age, kuna makosa mawili hapo; kosa kwa Jamhuri na Kosa kwa Mungu. Hebu waachie Jamhuri na Mungu watoe adhabu kadri watakavyyona inafaa.
 
Back
Top Bottom