Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

sidhani kama ni kweli yule mtoto alijua yatatokea yale, hata kama asingemsukuma kama inavyodaiwa bado mngemuandama
Hata mimi naunga mkono hoja.
Watu wanachanganya mahaba plus kumchukia lulu basi ndilo linawasumbua.
Ila mahakama itaamua mchele na pumba ni upi
 
TANGU AFE KANUMBA SJAWAH KUFUATILIA BONGO MOVIE. KFO CHAKE KILIPOTEZA KABISA MOVIE ZA TZ

[HASHTAG]#DAR2LAGOS[/HASHTAG]
[HASHTAG]#UNCLEJJ[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WHATISIT[/HASHTAG]
[HASHTAG]#THISISIT[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NDOAYANGU[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MOSES[/HASHTAG]
[HASHTAG]#YOUNGBILIONAIRE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DEVILKINGDOM[/HASHTAG]
AND MANY MORE
[HASHTAG]#JUSTICE4KANUMBA[/HASHTAG]
 
Halafu nyie mnaomsimanga marehemu et alikua anadate na mtoto chini ya miaka 18 ..mwanafunzi..muwe mnafikiria kwa kichwa sio makalio.
wakati kanumba anakatongoza haka katoto kalikuwa kamemaliza form four na majibu pia yalitoka kafeli.so alikua muhuni tu mtaani..
na wakat anakatongoza marehemu angeulizia cheti cha kuzaliwa?
kabinti kalidanganya kenyewe kana miaka 18 mnalaumu marehemu wa nini?
 
Dah hiyo rangi ya kanumba ndo ilinifanya nipende wanaume weusi.

Rip kanumba, nilikuwa mpesa post naweka pesa kwenye line yangu .kanumba aliingia kwenye hiyo duka la mpesa wakati naendelea kuongea ma muhudumu, muhudumu akasema nitaje no yangu, nikaitaja kumbe kanumba alikuwa akiiandika, alikuja nikupigia nishatoka dar na na akajieleza alivyopata no yangu, alininibembeleza sana nije dar nilikataa kwasababu nilikuwa na soma, lakini hata hivyo nilimuogopa kwakuwa yeye ni superstar. Lakini pia, sikuwa MTU wa wanaume mda wote nikiwa chuo

Hakukata tamaa kunitafuta siku zote nilisingizia masomo, hapo ilikua ni trh 2/1 /2012, nilipokutana nae posta ,hakukusita kunitafuta, nikamdanganya nikija likija likizo mwezi wa NNE nitamtafuta.

Hatimae mwezi wa NNE tulifunga pasaka nilifika dar akanitafuta nikamwepa nikamwambia Niko kwaresma baada ya ijumaa kuu nitamtafuta, ila nilitaka kumpotezea shoga yangu akanambia " wacha ujinga nitakusindikiza ninywe bia, kwakuwa mm situmii pombe sikuona umuhimu huo,shoga ndo alikuwa akichombeza nikubali kwenda maana yeye mtoto wa mujini afu wa.kishua.

Basi tuliendelea kuwasiliana, nikamuhaidi baada ya ijumaa kuu means jmosi. tho mm sikutaja kwenda ila shoga dah.

Basi ijumaa kuu tukatoka st . p. kusali jioni usiku SAA 3 tukawa tunaangalia tamthilia ya MARA CRALA. Tukaliongelea hilo swala la kwenda j mosi mchana. Na tukalala.

SAA 11 nasikia mama anaongea na simu anasema" masikini kanumba kafa duuuuu nilikurupuka kuwasha TV sikuamini macho yangu.

Kweli sikuwahi kumchukulia serious ila siku hiyo niliumia nikawaza ningekuwa kama wadada wa mjini ambao wanakamata fursa Wenda ningekuwa nishaonana nae. Dah kifo chake ndo kipiniuma na so vinginevyo

Sikuweza hata kuzika maana walizika j4 siku hiyo nikarudi mkoa nilikuwa na test j5.

Niliwaza mengi nikasema may be ndo maana nilikuwa nasita kuonana nae.

Apumzike kwa amani.
 
6cb4aba0ccf28083eadf1592c683323c.jpg
 
Halafu nyie mnaomsimanga marehemu et alikua anadate na mtoto chini ya miaka 18 ..mwanafunzi..muwe mnafikiria kwa kichwa sio makalio.
wakati kanumba anakatongoza haka katoto kalikuwa kamemaliza form four na majibu pia yalitoka kafeli.so alikua muhuni tu mtaani..
na wakat anakatongoza marehemu angeulizia cheti cha kuzaliwa?
kabinti kalidanganya kenyewe kana miaka 18 mnalaumu marehemu wa nini?
Acha wamsimange kwa kua hayupo hawajui walitendalo
 
Kwann marehemu alikua anamraghai mtoto under 18yrs, marehemu alikosa wakubwa wenzie wa kuwakaza???
Hivi ushawai kuwaza kwenye ilo tukio endapo Lulu ndie angekuwa kafariki alafu Kanumba angekua hai?

Lulu is innocent, over
She will only be innocent in accordance to court proof and not otherwise.
 
[emoji23][emoji23] maisha bila unafiki hayaendi,hii haki mnayoidai ni baada ya kesi kufufuka mbona hizi kelele hamkupiga siku za nyuma hapa maumivu yanakuja kwa kumuona dada jambazi anakula bata mtaani heee heeee ndio maisha yalivyo jamani.
Niliwahi kuandika uzi wa hii kesi itafute
 
Vyovyote vile ila naamini Lulu hakukusudia kumuua kanumba.
 
Justice gani alikuwa anabozogoa visicha underage yule. Zake ilikuwa vitoto vya primary tu yule
 
Sasa Hamisa anaingiaje humu?
Hizi team upupu zitawatia uchizi
Anaongelewa marehemu Kanumba na Lulu
 
Mulikuwa wawili mnagombana ghafla mmoja kafa.Sasa lazima uliyebakiwa uulizwe ilikuwaje.
Lazima utuambie vizuri.
 
Hii kesi yafaa itupiliwe mbali sioni kama ina mashiko, haki gani mnayoitaka nyie ya kutembea na
Mtoto wa -17 years?
 
Back
Top Bottom