Haaahiyo haki unayosema itapatiana huku mtu ashafariki, ni haki gani hyo?
Kwa kweliRest in peace Steven,Ninaomba kwa Mungu haki itendeke.Aliyesababisha kifo chake nae aumie kwa kupata adhabu kubwa kwa mujibu wa sheria.
Apumzike kwa amaniR.I.P The great
Haki ni haki hata kama katangulia haki yake itapatikana tu.hiyo haki unayosema itapatiana huku mtu ashafariki, ni haki gani hyo?
Haki ni haki tunamuombea haki itendekeHaki gani mkuu unayoidai?
Endelea kua mgeni tu mkuuMi mgeni jamani kwani Kanumba ndo nani?
Aliemsukuma ahukumiwe vyemaRest in peace Steven,Ninaomba kwa Mungu haki itendeke.Aliyesababisha kifo chake nae aumie kwa kupata adhabu kubwa kwa mujibu wa sheria.
Amina.Kwa kweli
sidhani kama ni kweli yule mtoto alijua yatatokea yale, hata kama asingemsukuma kama inavyodaiwa bado mngemuandamaHaki ni haki hata kama katangulia haki yake itapatikana tu.
Kila mmoja awe na upande ni sawa sisi tunamuombea heri kanumba kama mnavyomuombea heri mtu wenusidhani kama ni kweli yule mtoto alijua yatatokea yale, hata kama asingemsukuma kama inavyodaiwa bado mngemuandama
hapana, tuongee kweli, ile imetokea tu, sema kwa kuwa walikuwa pamoja muda wa tukio lile, ndio maana mnamuandama yule mtoto, ila kiukweli, inawezekana hakumsukuma kama inavodaiwaKila mmoja awe na upande ni sawa sisi tunamuombea heri kanumba kama mnavyomuombea heri mtu wenu
Alimsukuma akaangukia kisogo.hapana, tuongee kweli, ile imetokea tu, sema kwa kuwa walikuwa pamoja muda wa tukio lile, ndio maana mnamuandama yule mtoto, ila kiukweli, inawezekana hakumsukuma kama inavodaiwa