Inaweza ikawa au isiwe kweli.tuamini tu siku yake ilifika aise
Lazima sheria ichukue nafasisheria itafuata mkondo wake naamini...Tuachie mahakama hili suala
Ndio imani yako hiyo?Kila binadamu amezaliwa kwa makusudi maalumu, nadhani kazi ambayo kwayo kanumba aliletwa duniani aliifanya na akaitimiza.Tumuache apumzike kwa Amani tumsameheni tu lulu hakukusudia.
Unaumia nini?Huaga naumia mno aisee
Haki ipatikane tu ndio shida kubwa.Haka kalulu kafungwe tu
Inaanzaje kutupiliwa mbali?Hii kesi yafaa itupiliwe mbali sioni kama ina mashiko, haki gani mnayoitaka nyie ya kutembea na
Mtoto wa -17 years?
Haijui sheria lakini kutokujua sheria haihalalishi wewe kua muovuMkuu mambo ya sheria unayojua kweli?? Au umetoka usingizini
tunasubiriLazima sheria ichukue nafasi
Mbona lulu alikula makofi na mabapa ya panga, au kwakuwa hakufa ndio mnamuonea?Haikua mahaba dogo alikua anakimbiza sim jamaa asione alikua anaongea na nani kwani angempa sim aone ingekuaje?
Aliyemuonea ni nani ? Unaushahidi na hayo mabapa ya mapanga ukaithibitishie mahakama?Mbona lulu alikula makofi na mabapa ya panga, au kwakuwa hakufa ndio mnamuonea?
Kwa hii hukumu yako wangefungwa wengiAliemsukuma ahukumiwe vyema