Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtu akiwa anakukimbiza kisa umegoma kumpa simu yako mwenyewe aone kilichomo, akaanguka akajibamiza akafa, kwa hiyo wewe utakuwa muaji?Aliyemuonea ni nani ? Unaushahidi na hayo mabapa ya mapanga ukaithibitishie mahakama?
Mjuaji wa kila kituMange Kimambi anamtizamo gani kuhusu hili ?
Docta gani? Aliyekwambia huo ni ushahidi wa docta ni nani?Lulu yuko huru tangu ushahidi wa Dr utolewe jana.
Ova
Docta gani? Aliyekwambia huo ni ushahidi wa docta ni nani?
Huyo dk alisomea wapi,kuna cheti kinachoonesha hayo matatizo na matibabu yake? Je,hayo matatizo ndo yalisababisha kifo?Ofcoz Ni ushahd wa doctor aliekuwa anamtibia kanumba
Huyo dk alisomea wapi,kuna cheti kinachoonesha hayo matatizo na matibabu yake? Je,hayo matatizo ndo yalisababisha kifo?
Kwani kusomwa kwa ushahidi ndo tayari unatoa hukumu? Ushahidi wa maneno ambayo hayahusu tukio husika lazima uwe na document au vitu vya kuusapoti.Tatizo mnafikiri majaji ni watu wa mchwzomchezo,ungepitia hukumu za Said Mwamwindi na Doris Liundi ungepata mwanga kidogo kwamba ushahidi tuu hautoa hukumu lazima uendane na facts in issue.Hayo hayatuhusu ss..as long as ameapa alikuwa Anamtibia kanumba..Kwan unadhan wao wajinga kuchukua ushahd bila kujirdhsha..MAana ushahd ni wa siku nyng Jana umesomwa tu
Kwani kusomwa kwa ushahidi ndo tayari unatoa hukumu? Ushahidi wa maneno ambayo hayahusu tukio husika lazima uwe na document au vitu vya kuusapoti.Tatizo mnafikiri majaji ni watu wa mchwzomchezo,ungepitia hukumu za Said Mwamwindi na Doris Liundi ungepata mwanga kidogo kwamba ushahidi tuu hautoa hukumu lazima uendane na facts in issue.
AmenRest in peace Steven,Ninaomba kwa Mungu haki itendeke.Aliyesababisha kifo chake nae aumie kwa kupata adhabu kubwa kwa mujibu wa sheria.
Kipenzi chako sio Kipenzi chetu,isemee nafsi yakoNimeacha kuangalia move Tangia huyu Jamaa atutoke,,R I P kipenzi Chetu[emoji22][emoji22]
Hiyo haki ni haki ndo gani !?Haki ni haki tunamuombea haki itendeke
JE HATA LULU AKIHUKUMIWA ATAKUJA KUPATA MSAMAHA WA RAIS? Hiyo kesi ya Agnes Doris Liundi mkuu Mtambuzi aliweka uzi humu JF May, 11, 2012 hii hapa https://www.jamiiforums.com/threads/kesi-ya-agnes-doris-liundi-nini-hasa-kilitokea.265445/Kwani kusomwa kwa ushahidi ndo tayari unatoa hukumu? Ushahidi wa maneno ambayo hayahusu tukio husika lazima uwe na document au vitu vya kuusapoti.Tatizo mnafikiri majaji ni watu wa mchwzomchezo,ungepitia hukumu za Said Mwamwindi na Doris Liundi ungepata mwanga kidogo kwamba ushahidi tuu hautoa hukumu lazima uendane na facts in issue.
Msamaha wa rais ni uamuzi wa rais na hauwezi kutoka kabla ya hukumu.Upo kikatiba kabisa lkn rais hapangiwi na yeyote.JE HATA LULU AKIHUKUMIWA ATAKUJA KUPATA MSAMAHA WA RAIS? Hiyo kesi ya Agnes Doris Liundi mkuu Mtambuzi aliweka uzi humu JF May, 11, 2012 hii hapa https://www.jamiiforums.com/threads/kesi-ya-agnes-doris-liundi-nini-hasa-kilitokea.265445/
Nilitaka angalia utetezi wa mtuhumiwa na Dk Haule ulivyokuwa strong na issue ya insanity ilivyokuwa.Angalia jinsi mama alivyolalamika kuhusu tabia ya mume wake lkn bado alihukumiwa kunyongwa hadi kufa.Nashangaa hizi bla bla za jana mnavyozipa uzito.Msamaha wa rais ni uamuzi wa rais na hauwezi kutoka kabla ya hukumu.Upo kikatiba kabisa lkn rais hapangiwi na yeyote.
Kesi ya mzee Said Mwamwindi ilikuwa kunyongwa kwa kumuua RC Kleruu 25/12/1972 kule Iringa ambapo kiufupi ni hivi Watu wengi pia husema Kleruu aliuawa kwa kuwa alikuwa anamfuata mke mdogo wa Mwamwindi. Mimi nina mashaka na hilo kwa kuwa halikujitokeza kabisa kwenye kesi. Lililokuwa wazi ni kuwa Kleruu alimdhalilisha sana Mwamwindi mbele ya familia yake kwa matusi na kejeli nyingi. Pia na kumchomachoma na kifimbo chake. Kleruu alikuwa anahimiza ujamaa wa siku hizo ambao ulikuwa unakataa kabisa mtu kuwa na shamba kubwa kiasi cha kuajiri vibarua! Akina Mwamwindi na wakulima wakubwa wenzake walinyang'anywa mashamba yao ili yagawiwe kwa wananchi ili yalimwe kijamaa. Ubaya ni kwamba hakukuwa na uhaba wa ardhi. Hii ilikuwa ni unyang'aji na uonevu wa moja kwa moja kwani mtu yeyote aliyetaka ardhi angepewa mapori yaliyokuwepo na kupasua msitu kama walivyoanza akina Mwamwindi. Ujamaa wa siku hizo ulikataza mtu kulima sana, hasa akiwa peke yake! Mwamwindi aliitwa mnyonyaji na kabaila. Kuna sehemu mnasema Nyerere alisikitika sana kunyongwa kwa Mwamwindi? Hii inakuwaje wakati hati ya kunyongwa mtu huyu aliidhinisha mwenyewe! Link hizi hapa http://lukemusicfactory.blogspot.com/2010/12/je-ni-kwanini-mwamwindi-alimpiga-risasi.html, https://www.jamiiforums.com/threads/historia-picha-ya-said-mwamwindi-aliyemuua-dk-kleruu-aliyekuwa-mkuu-wa-mkoa-iringa.1246428/Kwani kusomwa kwa ushahidi ndo tayari unatoa hukumu? Ushahidi wa maneno ambayo hayahusu tukio husika lazima uwe na document au vitu vya kuusapoti.Tatizo mnafikiri majaji ni watu wa mchwzomchezo,ungepitia hukumu za Said Mwamwindi na Doris Liundi ungepata mwanga kidogo kwamba ushahidi tuu hautoa hukumu lazima uendane na facts in issue.
Jikite kwenye defense ya provocation na insanity.Ilidhihirika wazi kwamba Mwamwindi alikutwa na vyote viwili lakni bado akatundikwa.Mama yake alithbitisha jamaa alishapata hayo matatizo ya kurukwa na akili mara mbili toka 1959 na dk aliyemtibu alithbitisha lakin bdo akatiwa hatiani.Kesi ya mzee Said Mwamwindi ilikuwa kunyongwa kwa kumuua RC Kleruu 25/12/1972 kule Iringa ambapo kiufupi ni hivi Watu wengi pia husema Kleruu aliuawa kwa kuwa alikuwa anamfuata mke mdogo wa Mwamwindi. Mimi nina mashaka na hilo kwa kuwa halikujitokeza kabisa kwenye kesi. Lililokuwa wazi ni kuwa Kleruu alimdhalilisha sana Mwamwindi mbele ya familia yake kwa matusi na kejeli nyingi. Pia na kumchomachoma na kifimbo chake. Kleruu alikuwa anahimiza ujamaa wa siku hizo ambao ulikuwa unakataa kabisa mtu kuwa na shamba kubwa kiasi cha kuajiri vibarua! Akina Mwamwindi na wakulima wakubwa wenzake walinyang'anywa mashamba yao ili yagawiwe kwa wananchi ili yalimwe kijamaa. Ubaya ni kwamba hakukuwa na uhaba wa ardhi. Hii ilikuwa ni unyang'aji na uonevu wa moja kwa moja kwani mtu yeyote aliyetaka ardhi angepewa mapori yaliyokuwepo na kupasua msitu kama walivyoanza akina Mwamwindi. Ujamaa wa siku hizo ulikataza mtu kulima sana, hasa akiwa peke yake! Mwamwindi aliitwa mnyonyaji na kabaila. Kuna sehemu mnasema Nyerere alisikitika sana kunyongwa kwa Mwamwindi? Hii inakuwaje wakati hati ya kunyongwa mtu huyu aliidhinisha mwenyewe! Link hizi hapa http://lukemusicfactory.blogspot.com/2010/12/je-ni-kwanini-mwamwindi-alimpiga-risasi.html, https://www.jamiiforums.com/threads/historia-picha-ya-said-mwamwindi-aliyemuua-dk-kleruu-aliyekuwa-mkuu-wa-mkoa-iringa.1246428/