Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera

Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI"

AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama ifuatavyo
1. Panapofuka moshi
2. Kitendawili
3.Wamachinga

Huu wimbo wa Machinga ni Wimbo ambao unaendelea kuwa relavant miaka yote kwa maisha ya Mtanzania wa hali ya chini
 
RI P Justin.

Nimekumbuka mbali sana enzi za Justin na Urithi Band, Mani Pambe, Cheyo, Don Bosco Studio, Marlon Linje.
 
Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera

Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI"

AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama ifuatavyo
1. Panapofuka moshi
2. Kitendawili
3.Wamachinga

Huu wimbo wa Machinga ni Wimbo ambao unaendelea kuwa relavant miaka yote kwa maisha ya Mtanzania wa hali ya chini
Wewe ni gen z?..kalikawe tulizika tukalia kitambo
 
Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera

Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI"

AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama ifuatavyo
1. Panapofuka moshi
2. Kitendawili
3.Wamachinga

Huu wimbo wa Machinga ni Wimbo ambao unaendelea kuwa relavant miaka yote kwa maisha ya Mtanzania wa hali ya chini
Sikiliza na mv bukoba
 
Tulikuballiana wana jamii forums wote tuna magari. Wewe hiyo daladala umepanda ya nini?

JF wote tuna magari, wote tuna wanawake wazuri na wote ni ma bilionea, wawekezaji.. 😊
 
Enzi Raisi Mkapa hapo. Hakuna rangi aliacha kuona Kalikawe kwa album hiyo.

"Usitumie cheo chako kama dhamana, ya matakwa yako, unaweza sababisha ajali kama ya MV Bukoba"............
 
Tunaomba picha ya kalikawe jamani.
Wimbo wake wa Machinga ulihit sana aisee
 
Back
Top Bottom