Juventus Special Thread

BTW Ntuzu naomba umtakie heri Mourinho kazaliwa leo ndo maana ana raha zote za dunia ukizingatia na Juve wamempa furaha kwanini asicheke, daddy Aleyn uwe unaona tag basi kuna kazi jana nimekupa umetekeleza?


Happy birthday Mkuu Mourinho nakutakia maisha marefu Na yenye furaha Na amani.

Mungu akubariki Kiongozi.
 
Last edited by a moderator:

Mara ya mwisho ilikuwa '96 almost 19yrs ago. Sema sasa
 
Last edited by a moderator:
Hoja yangu mamito ni kwamba second leg bado haijachzwa. Ikichezwa Na tukapata matokeo Yake hapo tutaweza kusema.

Dalili ya mvua ni mawingu atacheza vizuri sana game ijayo we unafikiri na wao hawamtaki mwali? Tena wakichukua itakuwa ni bonge la mafanikio kwao mwaka huu wamedhamiria kuvunja rekodi, wacha wairudishe wairudishe Italy kwenye ulimwengu wa soka, #ForzaJuve
 


Ni kweli Italy km imepotea vile. J2 niliona game ya ac Milan nilibaki nasikitika tu. Milan hii sio ile ya buruda Ancelloti. Yani imekufa kabisa.
 

ancelloti amekiri kama pirlo aliwavuruga sana pale kati kwani jinsi alivyokuwa akicheza alisababisha viungo wake waache sana nafasi hivyo juve kuwa huru kushambulia.....halafu uzuri pale olympic stadion tuna upepeo napo (tushaingia fainali mechi ya marudiano ni kukamiisha ratiba) kwani mwaka 2006 mafundi wetu watatu wakiwa na Italy ndo walipobebea ndoo ya dunia....
 

Na Pirlo mwenyewe hakuwa na match fitness na bado kawagalagaza mbayaa
Ile fainali ilikua na mafundi wetu wengi sana kwa pande zote mbili, safari hii tutakua na kibarua cha kuwapiga gwara Messi and co
 
Fellain...

Hahahahahaaaa, Pogba kamwe hamuwezi Fellaini, kiboko ya Fellaini anajulikana, anaitwa Furaha, juzi kati hapa alimkamata akamficha kwenye pindo ya khanga kama noti ya jero, alisikika akiomba mma tu baada ya mtanange.....
 
morata mwenyewe kaongea, two goals for real madrid is nothing, naona wakatalunia wamefulahii, bt namnukuu kaka angu salamander "game bado ipo half time na juve anaongoza 2-1" lets stay tune anything can hapen
#halaa_madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…