Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Ahsante Nguli Gang Chomba, JF Sports Lady everlenk, mpwaaa Ziroseventytwo, Mzee mwenzangu Aleyn, Mkuu Malafyale na wakuu ndugu woteee
Ahsante my beloved Juventus, grande Carlitos, grande Morata
Ila sijamuelewa refa kutoka England Mr.Atkinson, sijaelewa kwanini Carvajal or whatever his name is kamaliza game bila kuona red card lakini all in all #FinoAllaFino na ahsante Juventus kwa kunipa zawadi bora kabisa ya birthday yangu 6th May

#ForzaBianconeri

Wahaoooooo!!!!! Happy birthday Mourinho Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele, jamani umesema usiku huu hata keki hatujaandaa ....daddy Aleyn ikifika asubuhi uangalie mwanambuzi aliyenona mchinjie rafikiyo apate supu safiiii ......
 
Last edited by a moderator:
Hongera wakuu... Hongera wapiga ala za Roho.. maburudaa...
Mourinho uliona kitu alichofanya blazameni Pogba kichwani!??
 
Ndio maana nasisitiza tumuuze tu yule dogo, kawa nyangema kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Juventus karibuni sana santiago bernabeu.ila pale ndio mtajua kwanini hii ndio klabu bora duniani
 
Hongera wakuu... Hongera wapiga ala za Roho.. maburudaa...
Mourinho uliona kitu alichofanya blazameni Pogba kichwani!??

ImageUploadedByJamiiForums1430899537.204987.jpg
 
Last edited by a moderator:
viande wa kabumbu wanaanza kushobokea dundo la buluda.....wakati wajuzi wa mambo tulishajua kitambo kama madrid kukutana na sisi ndio baba jeni bye bye!.....kamba ya morrata ilizalishwa na pasi 27 za kibaba!haijawahi kutokea msimu huu wa klabu bingwa ulaya!yaani sasa hivi juve tunashinda na kufanya vitu adimu ambavyo vigoli hawajafanya!....kama kocha tunaye!max allegri mtu mbaya ile selection ya kuacha manguli kina lorente na matri na kumuanzisha morata ilizaa matunda!....alichokifanya stafano sturaro hakihitaji maelezo!dimba lote lake kuanzia mashariki mpaka magharibi,kaskazini mpaka kusini,tropiko ya kansa mpaka tropiko ya kaprioni ....ikweta yote yake ilikuwa jana!shughuli tumemaliza tunaenda kuhitimisha sebuleni kwao bernabeau
 
Cc: Salamander TUPACified Gang Chomba Aleyn MosDef everlenk juve2012 na vijana vijana wote wa JF, njooni msome hekima za myao wa tunduru
 
Last edited by a moderator:
viande wa kabumbu wanaanza kushobokea dundo la buluda.....wakati wajuzi wa mambo tulishajua kitambo kama madrid kukutana na sisi ndio baba jeni bye bye!.....kamba ya morrata ilizalishwa na pasi 27 za kibaba!haijawahi kutokea msimu huu wa klabu bingwa ulaya!yaani sasa hivi juve tunashinda na kufanya vitu adimu ambavyo vigoli hawajafanya!....kama kocha tunaye!max allegri mtu mbaya ile selection ya kuacha manguli kina lorente na matri na kumuanzisha morata ilizaa matunda!....alichokifanya stafano sturaro hakihitaji maelezo!dimba lote lake kuanzia mashariki mpaka magharibi,kaskazini mpaka kusini,tropiko ya kansa mpaka tropiko ya kaprioni ....ikweta yote yake ilikuwa jana!shughuli tumemaliza tunaenda kuhitimisha sebuleni kwao bernabeau

Kuna bwa mdogo alianzisha uzi na kumuweka St.Pirlo kwenye level moja na kijamaa flani hivi kinaitwa kroos, huo ukosefu tu wa heshima na adabu ulisababisha nisichangie hoja kwenye huo uzi, nadhani baada ya dk 90 atakua alijifunza kitu
Llorente katuangusha jana, tie ilikua imeisha kabisa kama angetunza makini yake kidogo tu, Vidal aliwameza vigoli wa madrid, Tevez aliwatetemesha mapepe na vibeki uchwara vyote vya madrid, Chiellini (anaongoza kwa kupiga pasi nyingi msimu huu kwenye champions league) alimficha kwenye mfuko wa matakoni mchezaji ghali duniani na kama kawa hakuwa na muda wa kucheka na kima, refa wa kiingereza alikua mngese sana
Tunapumzika mwishoni mwa juma halafu tunapeleka mdundiko kibarazani kwao, watukatie mauno weee mpaka wazazi wao Uefa wakasirike
 
Hahahaha!!! Dah! Umetisha rafiki yake daddy Aleyn, mimi nilimwambia mapema TUPACified atangue mambo ya ban atafute bet nyingine maana Uzi wao kule utapoa, halafu tutamkosa kujibu hoja zetu,lakini nataka kujitolea kuwa wakili wake adhabu ibadilishwe asikimbie jukwaa abaki humu humu sindano zimuingie japo ni chungu.......... Jana mlinipa raha acha kabisa hiyo raha iendelee na leo kwa kweli.......
 
Last edited by a moderator:
Kuna bwa mdogo alianzisha uzi na kumuweka St.Pirlo kwenye level moja na kijamaa flani hivi kinaitwa kroos, huo ukosefu tu wa heshima na adabu ulisababisha nisichangie hoja kwenye huo uzi, nadhani baada ya dk 90 atakua alijifunza kitu
Llorente katuangusha jana, tie ilikua imeisha kabisa kama angetunza makini yake kidogo tu, Vidal aliwameza vigoli wa madrid, Tevez aliwatetemesha mapepe na vibeki uchwara vyote vya madrid, Chiellini (anaongoza kwa kupiga pasi nyingi msimu huu kwenye champions league) alimficha kwenye mfuko wa matakoni mchezaji ghali duniani na kama kawa hakuwa na muda wa kucheka na kima, refa wa kiingereza alikua mngese sana
Tunapumzika mwishoni mwa juma halafu tunapeleka mdundiko kibarazani kwao, watukatie mauno weee mpaka wazazi wao Uefa wakasirike

Mourinho unatoa maneno yote haya kwanini? Au umemsaha buruda Anceloti? Ivi hii juve inalingana Na ile juve iliyoitoa Madrid ktk uefa mwaka 2005? Sio juve ikiwa Na wachezaji Wa kiwango km cha kina Nedved! Sasa bado hujavuka mto unaanza kutukana mamba?

Game yenu ya marudio itakua ngumu sn na huenda mkatolewa kwasababu Madrid wako Na buruda Mwenye akili sn kuliko huyo wenu juve kwa sasa. Juve bado hajavuka mkuu
 
mwanangu chomba hizo hufananisha na dhambi.....kipawa cha fundi pirlo huwa havipatikani mara kwa mara!vipaji kama vile huzaliwa kila baada ya miaka hamsini au inaweza hata hiyo miaka hamsini ipite kisizaliwe kipaji kama kile.....kabla huyo mtoto hajaanzisha huo ilibidi akamuulize carlo ancelloti kwa kuwa mmoja ni mwanafunzi wake sasa hivi na mwingine ni mwanafunzi wake wa zamani....namnukuu mwalimu carlo ancelloti ''hakuna kiungo mwenye ufundi na uelewa wa nini afanye dimbani katika dunia ya leo unayeweza kumfananisha na andrea pirlo''
 
dakika 45 za kipindi cha kwanza kimeisha,tunasubilia 45 za kipindi cha pili lolote litatokea so siounapija kelele bwana mdogo..!? ngoja mpira uishe.
 
Wiki hii mnatakiwa muongee sana mmalize furaha yenu kabisa, kwasababu mi najua next week lazima mtakuja na visingizio kibaaao. Bernabéu siwaachi muende fainali. Na vile beki yenu inacheza faulo vile, mmekwisha.
mabeki wa kitaliano si unawajua vizuri lakini au?....muulize fundi wa mpira zizzou au ngiri suarez!....max allegri hupangaga ukuta wa mabeki watatu ila kwakuwa nyie wabishi tuliongeza level moja jana wakawa mabeki wanne...sebuleni kwenu kwakuwa mtakuwa mnapigiwa vigelegele na mke tunamtaka tunaweza ongeza waya wa umeme kabisa juu ya ukuta!barzagli akamaliza shughuli mapeemaaaaa!
 
Dah!! Nimewavulia kofia kwa maneno nyie watu!!....jana wewe ulitupia moja ukimjibu b5-click, kwenye Uzi ule wa yule dogo Gang Chomba alitupia moja hiyo sijui hata kama nilike au vipi nilipita kimya kimya duh leo tena myao wa tunduru.........respect wote..... #ForzaJuve .

Kwi kwi kwi kwi kwi, tukikaa kimya hawa maoyaoya wanadhani sie madomo zege sijui ingawa mara nyingi tunapenda kuongea kwa vitendo.......huyo Gang Chomba ni nyokolidadu halafu mkuu mwenyewe wa kaya ndiyo huyo myao wa tunduru, nadhani hata ukimuangalia utaelewa huyu ni wakumpa shikamoo
 
Last edited by a moderator:
Mourinho unatoa maneno yote haya kwanini? Au umemsaha buruda Anceloti? Ivi hii juve inalingana Na ile juve iliyoitoa Madrid ktk uefa mwaka 2005? Sio juve ikiwa Na wachezaji Wa kiwango km cha kina Nedved! Sasa bado hujavuka mto unaanza kutukana mamba?

Game yenu ya marudio itakua ngumu sn na huenda mkatolewa kwasababu Madrid wako Na buruda Mwenye akili sn kuliko huyo wenu juve kwa sasa. Juve bado hajavuka mkuu

Kila zama na nabii wake Ntuzu na yaliyopita si ndwele, Nedved saa hizi ni Mkurugenzi wetu, mwache ale pension yake kwa amani zote
Yaani sisi tukiongea inakua nongwa, team yangu imeishikisha ukuta the most expensive and most overrated team duniani halafu nikae kimya au niongee kwa woga tena kibarazani kwangu?
Hakuna aliyetegemea kuwaona mabuluda katika stage hii, wapiga domo wa England wamebakiza marefa uchwara tu, kama nilivyosema awali, Bianconero itaushangaza ulimwengu wa soka mwaka huu
BTW Chelsea anacheza na nani kwenye champions league? 😜😜
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom