Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Twende kazi.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mourinho anajua kuwa shuguli ishaisha ndio maana anachunga kauli zake mwenye ujasili wa kubishana na ukweli kwa makusudi ni Gang Chomba lkn leo tutawachangamsha tu watake wasitake.
Wakati na log in I had a feeling kwamba ntakutana na ndugu yangu, welcome back, pole na safari na hope ilikua ya mafanikio na umeikuta familia iko okay
Juventus tupo tunalisongesha kibishi na tumejiandaa kuushangaza ulimwengu wa soka usiku huu
#FinoAllaFine
Bado nawaaminia zile nafasi 3 mmepoteza zimeniuma sana.
#ForzaJuve
Juve ni bora zaidi ya Madrid
Mkongwe Pirlo na Vidal acha kabisa hawa watu
Barca vs Juve
Safiiiiiiiii , #ForzaJuve
Juve 2-1 RM napenda nilione na la 3.
Asanteni sana hamjaniumiza sana ila hili bao la ugenini nuksi..... Please kazi mliyoianza leo mkaitimize vizuri kule Bernabeu.....kutoka moyoni napenda niwaone fainaly.......... Mourinho Maombi yako yawe nasi kesho yangu yamejibu......... #ForzaJuve . #ForzaBarca