Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Hakuna siku nilikasirika kama walivyotuletea Allegri ila kwa sasa niko poa tu, naona jamaa kajirekebisha lakini tutajua vizuri msimu ujao, ana record nzuri sana on his debut seasons halafu huwa yanafuta madudu
Brahimi basi ana future mzuri sana, asibweteke tu hapo Porto, atafute uhamisho kwenda EPL au Spain, akija Italy ni club moja tu ndio itamfaa
Kuna jembe jingine linaitwa Juao Moutinho, huyu ndio proper replacement kama tutamuuza Pogba. Kikwazo ni pesa ya kumpata huyu bwana
Moutinho parefu pale. Mngejaribu Koke, sema Barca walijaribu last summer window, Atleti wakawaambia piteni hivi na ban yenu.

Kuna Javí Martinez pale kwa Pep, machine sana ile, wanaibania tu. Axel Witsel nae fundi hatari. Wajaribuni hao
 
Najua Galiani ataondoka,Barbara alitaka kumpiga chini ili amlete Maldini lakini Berlusconi akakataa.Inasemekana kuna bifu kubwa kati ya Galliani na Maldini.Milan bado wana watu wengi Seedorf,Nesta,Baresi,Costacurta,Cafu,Rui Costa,Sheva ,Gatuso wanaweza fanya hiyo kazi
 
Koke hatuwezi maana wenye msuli mkubwa wa pakee wanamtaka huyo bwana, Javi Martinez si ndio alikua record signing ya Bayern, nahisi watataka pesa ndefu sana, at least kwa Witsel tunaweza komaa
Ila hakuna club ina wachezaji wazuri na wanauzwa bei chee kama Dortmund, kuna fundi anaitwa Sven Bender pale
 
Haswaaa, wanahitaji young blood, hao wazee ndio wameifikisha club hapo ilipo, hebu imagine club ya hadhi kama AC Milan haina uwanja wake binafsi, hata Azam wanawashinda?
 
Sven Bender nae si m'baya. Pirlo pia inabidi mumshawishi apige chini National Team, yule saivi si wa kutumika sana. Anahitaji games si zaidi ya 2 kwa mwezi tu.
 
Moutinho parefu pale. Mngejaribu Koke, sema Barca walijaribu last summer window, Atleti wakawaambia piteni hivi na ban yenu.

Kuna Javí Martinez pale kwa Pep, machine sana ile, wanaibania tu. Axel Witsel nae fundi hatari. Wajaribuni hao

Javi Martinez sijui kwanini Guardiola hakutaka kumleta Spain yule jamaa.
 
Haswaaa, wanahitaji young blood, hao wazee ndio wameifikisha club hapo ilipo, hebu imagine club ya hadhi kama AC Milan haina uwanja wake binafsi, hata Azam wanawashinda?

hahahahahahaha hapa ningesema mimi ningeambiwa na Belo kuwa ninadharau, Ac Milan sasa hivi wamekalia record tuu na wala hawana cha maana zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Najua Galiani ataondoka,Barbara alitaka kumpiga chini ili amlete Maldini lakini Berlusconi akakataa.Inasemekana kuna bifu kubwa kati ya Galliani na Maldini.Milan bado wana watu wengi Seedorf,Nesta,Baresi,Costacurta,Cafu,Rui Costa,Sheva ,Gatuso wanaweza fanya hiyo kazi
Kama vp wafuate ushauri wa Mino tu, waunganishe clubs na Inter, wawe club moja. Hii sijui kama itawahi kutokea, naona watu wako tayari hata club ife ikibidi.
 
Binafsi ningependa Pogba auzwe the earlier the better, nampenda dogo hasa anachokifanya uwanjani lakini kashajiona super star, kawa nyangema anatembea kama ana majipu kwenye masaburi
Ni bora tumuuze mapema kwa pesa ya kutakata kwa hiyo oil-club tukachukue vichwa pale Dortmund na dogo Dybala, sijui wadau mnalionaje hili Ziroseventytwo TUPACified everlenk Ntuzu Belo Gang Chomba juve2012 Salamander b5-click MosDef bologna myao wa tunduru Viper na wengine wote mpaka Aleyn

Duh! Naona kama France, ni kama atakuwa kapiga hatua moja Nyuma hasa kwa umri wake, EPL move ingekuwa poa zaid kwa maendeleo yake (Man city) ndo ulikuwa muda wa kuEstablish. Career yake sasa! Anahitaji competition ya kila week!! Anarudia Yale yale ya Javier Pastore!!

Ila kama mkimuuza, tafuteni direct replacement, Pjanic/Kovacic, kule BVB kama unataka kwenda kumchukua Gundogan, na kumwacha Pjanic aende sehem nyingine, Aisee utakuwa umefanya mistake kubwa sana!! Gundogan ni bomu lile litakulipukia mbeleni huko, ila kama unataka Cheap options zaid ya Pjanic, unaweza ukamchukua tu Gundogan, but itabid mjaribu kwanza kwa Pjanic!!

BR likes him though!!! (Mind Youuu)

Am Defo' sure Dyabala, atakuwa mchezaji wa Juventus next season, labda tu zitokee twists za hapa na pale!! But Juve wana nafas kubwa sana, plus na mwenyewe anataka Italy kwanza!! But Money ndo kila kitu kwenye Transfer Market..
 
Last edited by a moderator:
Sven Bender nae si m'baya. Pirlo pia inabidi mumshawishi apige chini National Team, yule saivi si wa kutumika sana. Anahitaji games si zaidi ya 2 kwa mwezi tu.

Pirlo na Conte walivyokua maswahiba? Itabidi iwe hivyo ingawa Pirlo ndio maji ya jioni hayo, ndio maana inabidi kuwasaka kina Gundogan kuja kumbadili
 
Duh! Naona kama France, ni kama atakuwa kapiga hatua moja Nyuma hasa kwa umri wake, EPL move ingekuwa poa zaid kwa maendeleo yake (Man city) ndo ulikuwa muda wa kuEstablish. Career yake sasa! Anahitaji competition ya kila week!! Anarudia Yale yale ya Javier Pastore!!

Ila kama mkimuuza, tafuteni direct replacement, Pjanic/Kovacic, kule BVB kama unataka kwenda kumchukua Gundogan, na kumwacha Pjanic aende sehem nyingine, Aisee utakuwa umefanya mistake kubwa sana!! Gundogan ni bomu lile litakulipukia mbeleni huko, ila kama unataka Cheap options zaid ya Pjanic, unaweza ukamchukua tu Gundogan, but itabid mjaribu kwanza kwa Pjanic!!

BR likes him though!!! (Mind Youuu)

Am Defo' sure Dyabala, atakuwa mchezaji wa Juventus next season, labda tu zitokee twists za hapa na pale!! But Juve wana nafas kubwa sana, plus na mwenyewe anataka Italy kwanza!! But Money ndo kila kitu kwenye Transfer Market..

Tetesi nimesoma jioni hii zinaonesha Juventus wamekubaliana na PSG kwa usajiri wa Pogba kwa ada ya €80 million, sasa sijui kama ni kweli
Uko very right Mkuu kuhusu career development ya huyu dogo, akienda PSG atakua kafuata mchuzi tu lakini alifaa aende EPL akakomae zaidi, kule kwao ni kwa kumalizia soka tu
Gundogan tabu yake ni pancha, tena pancha kwelikweli that's why I prefer Mkhitaryan though huyu ni no.10 na sisi tunashida sana na general midfield kumreplace Pogba na Pirlo. Kama tungeweza mpata Moutinho tungekuwa tumelamba dume
 
Moutinho, Monaco hawawez kumwachia kwa chini ya €30m yule, but heard mnataka Witsel, pundits ndo wanasema ni kama replacement ya Pirlo (I doubt that), and price tag yake ni around €30m kushuka chini, nadhan mngeenda kwa Moutinho kama Zenit watademand hicho kias, the problem is ni kwa Monaco watakuwa wasumbufu kumwachia, coz mchezaji wao muhimu mwingine, anaweza/anaondoka summer hii (Kondogbia), kwa stuation kama hii, I can see Juve opting kwa Witsel (kama ni Target kweli).

I think Verrati ndo ingekuwa Long term perfect Pirlo's replacement (kwa kiasi chake), but it won't happen though and sidhan kama mnaweza mkamconvince au PSG kumuachia, Katika negotiations za usajili, Juventus haina Tofauti na LFC..

I think Pjanic should be your main Target this Summer!! Kovacic awe Plan B, na kumpata haraka, itakuwa better zaid.
 
Jamani! Pamoja na kuwa soka ni biashara kwa nini juve wauze? Juventus kwa sasa inatakiwa kutengeneza kikosi imara kitakacho weza kushindana na magiant wengine wa ulaya. Sijaelewa kwa kweli, juve wanachotaka ni pesa au hawaitaji tena huduma ya Pogba? Juve kwa sasa wanapaswa kuendelea kuimarisha kikosi na c kukibomoa.

Namba mniambie, ni wachezaji gani waliowahi kuuzwa na Barcelona, real Madrid na Bayern ambao bado walikuwa wapo kwenye mipango yao. Kwanza Bayern hawauzi, wanaacha. Wakiuza ujue hawakuitaji tena. Hivyo hivyo kwa real Madrid. Juve kwa sasa wanatakiwa kuwekeza ili waweze kushindana ulaya.

Kumnunua Gundogon itakuwa ni kosa kama walilofanya Barcelona walipomnunua Vemalaen. Jamaa ni full enker. Veratti, Huyu ni mbadala wa pirlo ukichukulia mzee pirlo umri ushamtupa. Calitos katishia kuondoka kurudi kwao, hapa anaitajika straiker . watafute streiker anayekipiga huko huko Italia. Uzoefu unaonyesha mastraika wengi waliohamia vilabu vya italia wakitoka nje hawakufanikiwa. Robinho, Mendieta, Claudio Lopez, Redondo hata di lima wote hawakucheza kwa kiwango walichokuwa nacho kabla ya kusajiliwa.

Aaah juve waache tamaa za pesa, wasiuze wachezaji Bali wanunue.
 
Juve na Serie A kwa ujumla, hawana hadhi wala rasilimali za kuwazuia ama kuwavutia wachezaji kama Pogba kwa sasa kulinganisha na timu kama Bayern, Barca au Madrid. Hata timu kama Arsenal, kwa sasa zina uwezo wa kuitetemesha Juve ama giant yoyote kutoka Italy (kifedha na kwa status). Pogba kwa mfano, mshahara tu anaopata Juve kwa sasa, unaingia karibu mara 3 kwa ule anaopata dogo kama Martin Odegaard akiwa kama mchezaji wa Real Madrid B(Castilla), na viwango vya juu kabisa vya mishahara kwa ligi ya Italia, ni vile ambavyo Wenger hatakuwa na noma kabisa kuvipitisha.

Juve wanatumia akili kumuuza Pogba, kashavuka uwezo wao, cha msingi wanajaribu kuvuta hela nzuri wawekeze pengine.

Serie A inahitaji mapinduzi ya hali ya juu kurudi kwenye hadhi yake ya juu, mifumo ya mpira imeshachuja kama sio kufa kabisa, kashfa za upangaji matokeo zimekimbiza wawekezaji na wadau, fujo za mashabiki pia ni tatizo kubwa sana. Kifupi, wana safari ndefu.
 
Moutinho, Monaco hawawez kumwachia kwa chini ya €30m yule, but heard mnataka Witsel, pundits ndo wanasema ni kama replacement ya Pirlo (I doubt that), and price tag yake ni around €30m kushuka chini, nadhan mngeenda kwa Moutinho kama Zenit watademand hicho kias, the problem is ni kwa Monaco watakuwa wasumbufu kumwachia, coz mchezaji wao muhimu mwingine, anaweza/anaondoka summer hii (Kondogbia), kwa stuation kama hii, I can see Juve opting kwa Witsel (kama ni Target kweli).

I think Verrati ndo ingekuwa Long term perfect Pirlo's replacement (kwa kiasi chake), but it won't happen though and sidhan kama mnaweza mkamconvince au PSG kumuachia, Katika negotiations za usajili, Juventus haina Tofauti na LFC..

I think Pjanic should be your main Target this Summer!! Kovacic awe Plan B, na kumpata haraka, itakuwa better zaid.

Mkuu, huyo Veratti ana uwezakano mkubwa kutua Madrid kutokana na uhusiano mzuri alionao na Ancelotti na hata tukitaka kukomaa naye hiyo ada yake ya uhamisho itakua pasua kichwa
Tukiwanunua the likes of Pjanic au Mkhitaryan itabidi tubadili kidogo na mfumo wetu wa uchezaji, maana Juve toka isukwe na Conte hainaga a no.10, mara nyingi tunatumia viungo wa kati watatu, two wing backs and strikers. Na hili ni muhimu sana kwa sababu tunamtegemea sana Pirlo kutengeneza nafasi za magoli, akikabwa Pirlo team nzima huwa ina struggle going forward, kuna haja ya kumpata mpasua kuta kama hao jamaa
 
Usiku wa leo tunahitaji point moja Vs blucerchiati ili kutetea ubingwa wetu kwa mara ya nne mfululizo, Allegri anatazamiwa kupumzisha key players kwa ajili ya match ya champions league Vs Madrid
But the Blucerchiati have not tasted defeat at the Luigi Ferraris since May 2014, registering seven victories and nine draws in that time

#ForzaJuve
 
Back
Top Bottom