Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.

Kifupi Barca ni wachafu balaa, na ndio maana mnapenda kupaka wenzenu matope. Much worse, mmekuwa snitches, mmechonga FIFA eti tuchunguzwe na sisi, smh.

Tunajua uchafu wenu pia, so tukinyamaza msituone mabwege.
Tangu Juan Laporta aondoke image ya Barca imeharibika sana (Barca is longer Mes en que) ukiangalia jinsi walivyowatreat kina Abidal,Valdez,Sanchez,Alacantara plus scandal ya Neymar,usajili wa watoto na udhamini wa Qatar.I hope huyu jamaa atarudi kurudisha image ya Barca.Fitina za Spain mchezaji akisajiliwa na Barca watasema Real Madrid walikuwa wanamtaka ,akisajiliwa na Madrid nao watasema Barca walikuwa wanamtaka
 
Bwana wee, kuna wachezaji wanakua overlooked kwa kweli, huyu Mkhitaryan nilianza kumpenda toka yupo Shakhtar Donetsk, Liverpool wakambwelambwela naye mpaka akatua Dortmund. Jamaa anajua sanaaa, yaani hawa ordinary no.10s wanaosifiwa kwenye ligi makelele kina Ozil, Oscar, Mata hawamgusi hata kidogo
Hao jamaa naweza sema walifanya wrong choices, unapoenda Madrid, Bayern au Man United ujue unaenda kwenye clubs kubwa kabisa duniani, pressure ya kufanya vizuri ni enormous and a stiff competition for first IX positions
Gotze sijui ni utoto au ulimbukeni, mashavu ya Bayern kuna Robben na Ribery, Sahin alikua mjinga kudhani atachukua namba kwa Alonso na Khedira, Kagawa hakupewa nafasi kwa kweli, ila Lewandoski ni kubaniwa tu, jamaa yuko vizuri sana, kama Ibra alibaniwa na Pep hata sishangai kwa Lew
Ndio hivyo, kuna watu hawana zali tu. Mtu kama Pjanic fundi hatari, Daniele De Rossi mpaka atastaafu ila hapati heshima anayostahili, kina Kondogbia mpaka wanawafundisha mpira waingereza ndio wanaonekana, kuna watu hapo La Liga wanaupiga hatari, kuna dogo anaitwa Beñat alikuwa Betis msimu ulioisha, piga sana mpira, kaishia kuchukuliwa na Athletic club, kina Koke na Arda balaa tupu, watu kama Banega wamekamua hadí wamekuwa bored, yule Brahimi mpaka sasa watu hawajajua uwezo wake vizuri. Hizi timu kubwa zina scouts wanashinda bar tu nadhani, halafu wakiamka wanabeba mwenye jina.
 
Tangu Juan Laporta aondoke image ya Barca imeharibika sana (Barca is longer Mes en que) ukiangalia jinsi walivyowatreat kina Abidal,Valdez,Sanchez,Alacantara plus scandal ya Neymar,usajili wa watoto na udhamini wa Qatar.I hope huyu jamaa atarudi kurudisha image ya Barca.Fitina za Spain mchezaji akisajiliwa na Barca watasema Real Madrid walikuwa wanamtaka ,akisajiliwa na Madrid nao watasema Barca walikuwa wanamtaka
Ni balaa tupu, hao kina Rosell walikuwa vichwa mkuki. Hizi za kuchukuliana matonge mdomoni zimeanza zamani sana, nakiri Madrid ndio ilianza kwa Di Stefano, na ndio maana Barca wana machungu mpaka leo, ingawa Madrid wamejitahidi mara kibao kusawazisha hiyo mambo. Cruyff mwenyewe ashakiri hadharani kwamba Barca walichemka kuwaacha watu kama Kroos, James na Isco kwenda Madrid, badala yake wameishia na kina Rakitic ambao walitakiwa kuja Madrid.
 
Anayeing'arisha image ya Barcelona kwa sasa ni Lionel Messi, wangerogwa kumuuza huyu kipindi kile ana msuguano na Enrique basi wangerudi enzi zile za Barca ya 1990's ya kina Overmars, Cocu, captain mkorofi Enrique nk
Laporta pia alikua na uhusiano mzuri sana na Uefa, kipindi cha Guardiola, Barca ilikua inabebwa sana na waamuzi kwenye UCL, nakumbuka ile match ya 1/2 final Vs Chelsea ya Guus Hiddink pale darajani jamaa walivyobebwa ( Ntuzu, Manumbu, Mentor, kalou ) na pia 1/2 yao pale Nou Camp Vs Inter ya Mourinho kuanzia hotelini walikolala Inter mpaka red card ya uongo ya Thiago Motta, so wamrudishe Laporta maana mchango wake huko Barca ni heavy
 
Last edited by a moderator:

Hahaha uliyoongea hapo, wajina wako yule mreno angeyaona angekuwa proud sana. Mpaka kesho nadhani akiskia Barca anaona conspiracies tu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo, kuna watu hawana zali tu. Mtu kama Pjanic fundi hatari, Daniele De Rossi mpaka atastaafu ila hapati heshima anayostahili, kina Kondogbia mpaka wanawafundisha mpira waingereza ndio wanaonekana, kuna watu hapo La Liga wanaupiga hatari, kuna dogo anaitwa Beñat alikuwa Betis msimu ulioisha, piga sana mpira, kaishia kuchukuliwa na Athletic club, kina Koke na Arda balaa tupu, watu kama Banega wamekamua hadí wamekuwa bored, yule Brahimi mpaka sasa watu hawajajua uwezo wake vizuri. Hizi timu kubwa zina scouts wanashinda bar tu nadhani, halafu wakiamka wanabeba mwenye jina.

Aisee umetaja watu hapo ambao huwa nawafikiria sana, hasa Banega na Brahimi (how old is this guy?) Brahimi machine asee, natamani nimwambie Allegri amchukue huyu jembe
Koke ni kwere man, yaani huwa nashangaa kwanini Pogba anasifiwa hivi na si Koke, maana Pogba kwa Koke ni kama Okocha kwa Zizzou
Pjanic fundi balaa, ukienda Napoli utamkuta dogo Mertens, jembe letu Marchisio huwa hapewi credit kama wale wanyoa viduku, Southampton kuna jembe linaitwa Jose Fonte, mreno huyu hata sijui kama kashawahi vaa jezi ya team ya Taifa, EPL nzima wa kulingana na Fonte ni JT tu, halafu 1 Jose Fonte = 10 Pepes
 
Brahimi 25 tu, still a lot to come from him.

Yule Allegri bana ni mtambo tu(with all due respect), alichemka sana Milan. Na huyo boya ndio alisema Pirlo zilipendwa, akamuachia kimandazi. Juve mpaka walipo sasa wamefika kwa auto-pilot aliyoi-set Conte.
 
Morinho breaking news kutoka kwa trend setters ninaowaamini, zinasema Paris Saint-Germain and Juventus agree €80 million fee for Pogba mchana huu.
 
Watu wa Barca huwa mnajiona watakatifu sana, wakati na nyie wale wale. Mlimzingua the versatile Yaya Toure ili kum-accomodate swahiba Mu-Argentina wa mungu wenu; mkamzingua mtu aliyekuwa ana-guarantee 25+ goals kila season kumu-accomodate superstar Zlatan ambaye mlimchukua ili asiende Madrid; mkamzingua Zlatan kumu-accomodate the then Spain's favorite son, David Villa ili asiende Madrid; mnamzingua Pedro kumu-accomodate Neymar ambaye mlifanya yote ili tu asiende Madrid; mlimrudisha Fabregas ili kuwa mrithi wa 'mushroom expert' Xavi, Fab mkamfukuza kwa dharau, mkamleta Rakitic ili asiende Madrid; Thiago Alcantara mlimzingua, Xavi Hernandez, mnamzingua. Abidal mlimfanyia uhuni, mkakausha kumuongezea mkataba japo mlimuahidi toka mwanzo.

Kifupi Barca ni wachafu balaa, na ndio maana mnapenda kupaka wenzenu matope. Much worse, mmekuwa snitches, mmechonga FIFA eti tuchunguzwe na sisi, smh.

Tunajua uchafu wenu pia, so tukinyamaza msituone mabwege.

-Usiseme watu wa Barca huwa wanajiona saints sana ila ni Guardiola.
-Guardiola ni mpuuzi sana, katuharibia mamb mengi sana, katuondolea Toure, eto'o, Helb n.k
-Ndani ya Kipindi chake alifanya ubaguzi mkubwa kwa wasio Wakatalunya.
-Hii timu ingekuwa chini ya Tito Vilanova(RIP) au ingekuwa hata chini Enrique usingetokea upuuzi ule.
 
Ni kweli Mpwa, Pogba akirogwa kwenda Madrid itakua kama nyie mlivyoua kipaji cha Song. Bado hana qualities za kukamata dimba la Los Blancos, naona anazidiwa sana tactical ability na Veratti na sidhani kana Madrid wana hutaji la mtu wa nafasi ya Pogba ( Salamander will correct me on this) maana tayari wanaye maestro Kroos
Pogba aende PSG au England, iwe Man City, Chelsea, Arsenal au Liverpool huko kote atajengeka vizuri na hao wote watatupa mchuzi mzuri wa kuimarisha Bianconeri

-Song tumempeleka ili afanye mazoezi kisha arudi.
-Umri kwake sio mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Ni balaa tupu, hao kina Rosell walikuwa vichwa mkuki. Hizi za kuchukuliana matonge mdomoni zimeanza zamani sana, nakiri Madrid ndio ilianza kwa Di Stefano, na ndio maana Barca wana machungu mpaka leo, ingawa Madrid wamejitahidi mara kibao kusawazisha hiyo mambo. Cruyff mwenyewe ashakiri hadharani kwamba Barca walichemka kuwaacha watu kama Kroos, James na Isco kwenda Madrid, badala yake wameishia na kina Rakitic ambao walitakiwa kuja Madrid.

Aiseee, huyu James sijui tulikuwa wapi kwa kweli.
 
Angalia msije makarudia kasajili kama ilivyokuwa kwa Tiago,Diego,Felipe Melo na Milos Krasic (new Nedved)

Sijawahi kuamini mpaka leo hii kwamba Diego aligeuka kuwa flop, kajamaa kalikua kanajua sana soccer
Teh teh teh Krasic kama Mateja Kezman tu, lol
 
-Song tumempeleka ili afanye mazoezi kisha arudi.
-Umri kwake sio mbaya.

Acha siasa wewe, arudi kucheza namba ya nani? Buesqest au Rakitic? Naona Gang Chomba anasema miamba ya Milan inamtaka huyo dogo
 
Last edited by a moderator:
Acha siasa wewe, arudi kucheza namba ya nani? Buesqest au Rakitic? Naona Gang Chomba anasema miamba ya Milan inamtaka huyo dogo

Sasa AC Milan si ndo itamfanya hata supersport ya South Africa imsajili. Hawezi kwenda timu ya kishamba yule.
 
Last edited by a moderator:
Brahimi 25 tu, still a lot to come from him.

Yule Allegri bana ni mtambo tu(with all due respect), alichemka sana Milan. Na huyo boya ndio alisema Pirlo zilipendwa, akamuachia kimandazi. Juve mpaka walipo sasa wamefika kwa auto-pilot aliyoi-set Conte.

Hakuna siku nilikasirika kama walivyotuletea Allegri ila kwa sasa niko poa tu, naona jamaa kajirekebisha lakini tutajua vizuri msimu ujao, ana record nzuri sana on his debut seasons halafu huwa yanafuta madudu
Brahimi basi ana future mzuri sana, asibweteke tu hapo Porto, atafute uhamisho kwenda EPL au Spain, akija Italy ni club moja tu ndio itamfaa
Kuna jembe jingine linaitwa Juao Moutinho, huyu ndio proper replacement kama tutamuuza Pogba. Kikwazo ni pesa ya kumpata huyu bwana
 
Sasa AC Milan si ndo itamfanya hata supersport ya South Africa imsajili. Hawezi kwenda timu ya kishamba yule.

Milan wana kibopa mpya mvimba macho mmoja Mr.Nyuki, atawapa mchuzi wa kujenga uwanja na kikosi kipya
 
Sasa AC Milan si ndo itamfanya hata supersport ya South Africa imsajili. Hawezi kwenda timu ya kishamba yule.

Acha dharau,AC Milan itarudi upya.Usije shangaa kusikia Galliani anakuja kumchukua Inniesta au Messi
 
Nadhani Galliani apumzike na yeye pamoja na swahiba wake Berlusconi, nafasi yake apewe mtu kama Maldini na kina Seedorf warudishwe kusimamia academy na utafutaji na ukuzaji wa vipaji
 
Back
Top Bottom