Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mourinho anajua kuwa shuguli ishaisha ndio maana anachunga kauli zake mwenye ujasili wa kubishana na ukweli kwa makusudi ni Gang Chomba lkn leo tutawachangamsha tu watake wasitake.

Hakuna gharika wala masika,
naona mnanena kwa mashaka,
mioyoni mkijua aibu yenu ishafika,
Kina Christina mabao tutawapachika,
Miti tutaisimika viuno wakikatika,
Hii ndio Juventus, chama la uhakika
#ForzaJuve
Teh teh teh, naona vijana mnaanza kutukana mamba ilhali hamjauvuka mto.
Leo mtakutana na buluda aliyeshiba ugali wa muhogo, sato wawili wakubwa pamoja na kisamvu cha karanga, hapa tunashushia na karanga mbichi na mtindi kuwasubiri kina Christina wazame gheto tuseme nao
Nadhani wengi mnajua kuwa 'kikojozi hapati usingizi ugenini'
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=ForzaJuve]#ForzaJuve [/URL]
Maombi yangu yapo pamoja nawe hakika napenda kukuona fainali nawe utuombee mimi na daddy wangu Aleyn tumshinde Bayern fainaly tuwe pamoja. . .......dah!! Itakuwa njema hiyo....
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=ForzaJuve]#ForzaJuve [/URL]
#VarmosBarca
Teh Teh Teh... kumbe umo hadi katika kupanga vina na tungo kali... basi lazima leo mshikishwe maiki muimbe ala za roho..
#zingiPuliZingiPuli
Hakuna gharika wala masika,
naona mnanena kwa mashaka,
mioyoni mkijua aibu yenu ishafika,
Kina Christina mabao tutawapachika,
Miti tutaisimika viuno wakikatika,
Hii ndio Juventus, chama la uhakika
#ForzaJuve
naenda jukwaa la madrid mara moja, nitarudi mda si mrefu.
Kuna Uzi umeanzishwa na Tupacified angalia mention nenda kajibu kule.
ha ha haa! I missed you guys dah!@ Mourinho bhana!