Juventus Special Thread

Juveeee, Come oooooooon!!!!

Forza forza forza Bianconeri
Jamaa zako juzi wametolewa kamasi na Valencia huku wakisweat kuhusina na afya ya Kroos, sasa ngoja keshokutwa watupangie mtu wa kulala Mwaisera na kichwa maji Ramos tuwachezeshe mdundikoo, mdundikoo (kwa sauti ya Dr.Remmy Ongala)
 
Wamesema Kroos atakuwepo. Ila naamini Pogba nae ataleta ushindani mkubwa tuu.
 
Wamesema Kroos atakuwepo. Ila naamini Pogba nae ataleta ushindani mkubwa tuu.

Hawana namna lazima wampange hata kama alitakiwa aspend muda huo pale mwaisera
Pogba kapasha juzi na akatupia, so keshokutwa we'll unleashed the Pogboom
 
Hawana namna lazima wampange hata kama alitakiwa aspend muda huo pale mwaisera
Pogba kapasha juzi na akatupia, so keshokutwa we'll unleashed the Pogboom

Harafu Mkuu mtu kutolewa kwako inaumaaa!!!! We sikia tuu.
 
Hawana namna lazima wampange hata kama alitakiwa aspend muda huo pale mwaisera
Pogba kapasha juzi na akatupia, so keshokutwa we'll unleashed the Pogboom

huyu blazameni sitegemei kama atawika pale santiago. . .
 
Mourinho na #Juve nawatakia kila la heri kesho hope kesho hamtaniangusha... Kibarua chetu tumekimaliza kazi ilikuwa nzito kazi kwenu, tumeshawatangulia Berlin kuwaandalia makao karibuni sana.....
#ForzaJuve
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini Bibi Kizee akacheza fainali????? Fainali El Classico!! Madrid v/s Barca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…