Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mourinho umesikia huko Italy?Mahakama ya rufaa imetupilia mbali kesi ya jinai ya Luciano Moggi na kumuona hana hatia yoyote,pia hakukuwa ushahidi wa kutosha kuiteremsha Juve daraja mwaka 2006.Juve sasa inadai fidia ya pauni milioni 443 kutokana na hasara iliyopata kwa kushushwa daraja!FIGC wameiomba Juve isidai pesa badala yake irudishiwe makombe yake iliyopokonywa!Chama cha soka kinaomba po!Haki imeonekana.Ukweli umejulikana.Na hii ni baada ya Moggi kutoa ushahidi wa wiretaps zinazoonyesha klabu karibu zote za Italia kuwa na mchezo wa kupiga simu kwa FIGC zikiomba refa fulani wanayemuamini achezeshe.Sasa ya Juve ilikuwa na nini tofauti na nyingine hadi ionekane kuwa ni kosa?ulikuwepo ushahidi wa Moggi kuomba marefa lakini hakuna ushahidi kuwa marefa hao walipewa mlungula na kuibeba Juve.Alipoweka hadharani mawasiliano ya Moratti wa Inter na FIGC hapo hapo haraka haraka kesi imemalizwa na Juve hana hatia.Kuna nini hapo?Inter were behind Calciopoli na Mungu kawaumbua.Tena wao hata UEFA cup hawapo,Juve iko fainali ya Ulaya.Juventus imewaumbua mafioso wa soka ya Italia!Aibu!Aibu kubwa kwa soka ya Italia.Umafia michezoni,kisa?kamari!Ningekuwa na uwezo ningeihamishia Juve yetu EPL waitaliano wendawazimu kama wabongo tu!
 
Last edited by a moderator:
CHAMPIONS LEAGUE
Max Allegri: 'Courageous Juventus' earned place in the final
Max Allegri reveals he told Juventus to “have courage” against Real Madrid to earn their spot in the Champions League Final.

He won the Scudetto, reached the Coppa Italia final and is now in Juventus’ first Champions League final for 12 years.

“I have an extraordinary group of players. It was an impressive semi-final with chances for both sides, though we should have done more with our opportunities in the first half,” he told Sport Mediaset.

“We’ve earned our place in the final and now that we’re there we hope to do well!”

A 2-1 first leg victory in Turin was followed by a 1-1 draw at the Bernabeu.

“In the second half they had two or three clear chances, as did we, so I cannot say anything to the team for what they did tonight and throughout the whole year.

“We’re also in the Coppa Italia final and we have to prepare for that too, as it is an important objective.”

Because the Champions League Final is on June 6th, the Coppa Italia final with Lazio moves from June 7 to May 20.

“I knew the game would go like this tonight. I told the lads they needed courage and to play well technically.

“I think it is also important for Italian football than one of our teams is back in the Champions League Final.

“Isco and Rodriguez aren’t particularly strong defensively, so I told my players the more we push them towards their own goal, the better.”

The final is against Luis Enrique’s Barcelona, who obliterated Bayern Munich in the semi-final and are on their way to the Liga title.

“Barcelona are an almost impossible side to play against, but it’s one thing to face them over two legs and another in a one-off match. Anything can happen there.

“We are in good physical shape, they have a stratospheric front three and we go to Berlin convinced we can bring home the trophy.”
 
Mourinho umesikia huko Italy?Mahakama ya rufaa imetupilia mbali kesi ya jinai ya Luciano Moggi na kumuona hana hatia yoyote,pia hakukuwa ushahidi wa kutosha kuiteremsha Juve daraja mwaka 2006.Juve sasa inadai fidia ya pauni milioni 443 kutokana na hasara iliyopata kwa kushushwa daraja!FIGC wameiomba Juve isidai pesa badala yake irudishiwe makombe yake iliyopokonywa!Chama cha soka kinaomba po!Haki imeonekana.Ukweli umejulikana.Na hii ni baada ya Moggi kutoa ushahidi wa wiretaps zinazoonyesha klabu karibu zote za Italia kuwa na mchezo wa kupiga simu kwa FIGC zikiomba refa fulani wanayemuamini achezeshe.Sasa ya Juve ilikuwa na nini tofauti na nyingine hadi ionekane kuwa ni kosa?ulikuwepo ushahidi wa Moggi kuomba marefa lakini hakuna ushahidi kuwa marefa hao walipewa mlungula na kuibeba Juve.Alipoweka hadharani mawasiliano ya Moratti wa Inter na FIGC hapo hapo haraka haraka kesi imemalizwa na Juve hana hatia.Kuna nini hapo?Inter were behind Calciopoli na Mungu kawaumbua.Tena wao hata UEFA cup hawapo,Juve iko fainali ya Ulaya.Juventus imewaumbua mafioso wa soka ya Italia!Aibu!Aibu kubwa kwa soka ya Italia.Umafia michezoni,kisa?kamari!Ningekuwa na uwezo ningeihamishia Juve yetu EPL waitaliano wendawazimu kama wabongo tu!

Mkuu, nilifuatilia vizuri sana kesi hii na nilifurahishwa na ule utetezi wa mwisho wa Moggi (nadhani nilipost humu) na haya mengine yalikua inevitable, lilikua suala la muda tu ukweli kuwekwa bayana na kuondolewa doa lililochafua club yetu pendwa, forzaJuve
Na mwaka huu watatupa shikamoo zetu tu maaanina, tutakaporudisha heshima ya Serie A na kudai chetu, hatutaki makombe yao ya hila, watukatie fungu letu tu Allegri ajenge kikosi imara tishio ulaya na watoe statement kutuomba msamaha Juventus
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh, wapi Gang Chomba?

Duh!!! Mmeshaanza maneno yenu....... Lol,Yaani Jana nilifurahi sana sana yaani acha tu.......nimefurahi maombi yetu yamejibiwa kama tulivyotaka......Hongereni sana tena kwa mara nyingine.

Sasahivi urafiki wetu unaanza kuwa wa mashaka chezea mwali wewe.....!!!! Kwa tambo siwawezi ngoja nikae kimya tu nisubiri hiyo tarehe 6 Berlin, ila heri yangu mimi wewe ni rafiki yake daddy Aleyn hata ukishinda nitafurahi tu ila duh!! Damu nzito kuliko maji......
 
Teh teh teh, naona hata wewe sasa unayaogopa Mabuluda, lol wapi Malafyale
Hatujafika hapa kwa bahati mbaya kama ile Chelsea ya Ntuzu ya 2012, tupo hapa kwa sababu we deserve to be here na tunalihitaji hilo kombe zaidi ya Barca wanavyolitaka, si kwa ajili yetu tu bali kwa mustakabali mzima wa soka la Italia
Unaona scandal ya Calciopoli inaanza kuwekwa bayana, Juve iko fainali, scudeto makwapani, Copa Italia nayo ni suala la muda tu, Tevez is scoring for fun, Morata hashikiki na Allegri the master tactician, VIPER Kaonekana tena jamvini..........kama unajua kusoma alama za nyakati everlenk utajua tu huu ni mwaka wa Bianconeri
Nawatakia kila la kheri na dingi yako
 
Kaka yangu Malafyale sababu anapenda ligi na Dada yake ndo maana amemkana hata mwanae Suarez..... Huu mtanange ni wa kukata na shoka kila mmoja anataka kuweka history katika nchi yake, Barca anatamani amiliki wanamwali 3 huku nanyi hivyo hivyo patamu hapo...... Kwa sababu moja tu hata ukichukua Kombe haitaniuma nayo ni kwamba unaibeba Italy unairudisha katika heshima yake hilo tu.

Daddy kaniambia niwaheshimu wakubwa la sivyo mpaka tunafika tarehe 6 Uzi wenu huu ungefika page 1000. Naona naye Ntuzu anajirudisha kwako baada ya kushindwa jana.
 
Km Mimi ningekua kocha Madrid ningeweka bench wachezaji wote waliocheza Jana. Hawawezi kucheza usharobalo na kuwaacha juve wanapata goli la kusawazisha kirahisi namna hiyo.

Kaka yangu Malafyale sababu anapenda ligi na Dada yake ndo maana amemkana hata mwanae Suarez..... Huu mtanange ni wa kukata na shoka kila mmoja anataka kuweka history katika nchi yake, Barca anatamani amiliki wanamwali 3 huku nanyi hivyo hivyo patamu hapo...... Kwa sababu moja tu hata ukichukua Kombe haitaniuma nayo ni kwamba unaibeba Italy unairudisha katika heshima yake hilo tu.

Daddy kaniambia niwaheshimu wakubwa la sivyo mpaka tunafika tarehe 6 Uzi wenu huu ungefika page 1000. Naona naye Ntuzu anajirudisha kwako baada ya kushindwa jana.

Yani kwa ManU ntakupa sapoti kiduchu lkn kwa Fc Barcelona hapo tutapishana mpk kesho. Nahamia juve kuanzia Leo mpk tarehe 6.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahah lol! Mabuluda wengine nomaaa, nikaona isiwe tabu, burudani ya soka ikianza kuwa kama jukwaa la siasa starehe yote inaondoka. Sawa Mkuu umesikika.

Mkuu wangu BAK hata huku una ruksa na baraka zote za mabuluda kupost zile picha
 
Juventus ilianzishwa na vijana wanafunzi wadogo sana kule Torino mwaka 1897.Ikaitwa Juventus (vijana) kwa sababu hiyo.Baadae ilipokua na kuchukuliwa na tajiri wa viwanda mzee Agnelli ikabatizwa jina la "la fidanzata d'italia" (the darling/girlfriend of Italy) na wafanyakazi wa viwandani toka Italia ya kusini.Kule Italy historically kuna mgawanyiko wa kitabaka,la walionacho na wasionacho.Matajiri wengi kihistoria wanatokea Northen Italy na walalahoi wengi wako Southern Italy,mahala ambako kuna wahamiaji wengi toka nje ya Italy ambao walikwenda kuajiriwa viwandani na mashambani miaka hiyo.Hivyo waitaliano wenyewe wanabaguana,wale wa North ambao wengi ni blondes wakijinasibu kuwa maburuda asilia na kuwaona watu wa South wenye nywele nyeusi walalahoi "wakuja".Sasa Juve ilikuwa Turin kwa matajiri lakini ikapata sapoti ya wafanyakazi wengi toka South kutokana na kuwa timu ya wanafunzi na wafanyakazi wa viwanda na mashamba ya akina Agnelli.In a special case,mashabiki hao wengi mwanzoni walikuwa waingereza waliokuwa viwandani kwa Agnelli.Hivyo kutokana na kupendwa na watu wengi toka pande zote za Italia na haswa Kusini kwa walalahoi walio wengi,Juve ikaitwa "mchumba" wa Italia.Kule Italy mwanamke anaheshimika sana na kuwakilisha upendo.Pia mwanamke mzee anaheshima zaidi kwa utamaduni wao miaka ile.Kwa hiyo Juve kuitwa "lady" ni kutokana na kupendwa sana enzi hizo.Miaka ya 1930's Juve maarufu iliyotwaa vikombe na kutoa wachezaji wengi kwenye national team ya mzee Pozzo iliyotwaa World Cup ilikuwa na wachezaji wenye umri mkubwa.Ndipo huyu Lady kwa utani akaanza kuitwa bibi mzee(la vechia signora).Kwamba it's no longer a team of young men (Juventus) but the opposite.Hadi leo Juve ina mashabiki wengi Italia ya kusini kwa akina Napoli kuliko kule North iliko Turin,Milan etc.Hii ndio sababu Juve ikicheza na timu za kusini kama Napoli huwa uwanja unajaa moshi wa fataki na polisi wanakuwa na kazi ngumu uwanjani.Ile ndio Yanga ya Italy.Hata mgawanyiko uliopelekea kuzaliwa Torino f.c ulitokana na hilo,pale baadhi walipotaka Juve ihame Turin,wengine wakapinga isihame na kujitoa kwenda kuanzisha Torino.Ndio kuna Derby Dela Mole ambapo juzi tulivyofungwa na Torino uliona Mourinho alikunywa bia wiki nzima kuondoa stress na hata ubingwa hakushangilia.Yeye kwake ubingwa ni hadi amfunge Torino.Naskia ubingwa wa mwaka huu hautambui na alibeba mayai viza kwenye ndege from Dar to Turin kwenda kuchafua basi la Torino kama kawa ha ha haa!

Aisee juve2012 kwa nini unapenda kukimbia kijiwe? Kijiwe siku hizi kimechangamka. Usipotee bhana
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu Malafyale sababu anapenda ligi na Dada yake ndo maana amemkana hata mwanae Suarez..... Huu mtanange ni wa kukata na shoka kila mmoja anataka kuweka history katika nchi yake, Barca anatamani amiliki wanamwali 3 huku nanyi hivyo hivyo patamu hapo...... Kwa sababu moja tu hata ukichukua Kombe haitaniuma nayo ni kwamba unaibeba Italy unairudisha katika heshima yake hilo tu.

Daddy kaniambia niwaheshimu wakubwa la sivyo mpaka tunafika tarehe 6 Uzi wenu huu ungefika page 1000. Naona naye Ntuzu anajirudisha kwako baada ya kushindwa jana.

Kwenye michezo heshima ni muhimu sana lakini don't show too much of it utashindwa kuwa mshindani mzuri.
Kwa hiyo kama unataka kuujaza huu uzi kwa mbwembwe, bakshasha, madongo, tambo, vioja na vibwenzo unakaribishwa sana
Waalike pia na 'mashosti' wote wa JF wanaopenda michezo kama BelindaJacob na Maria Roza

#FinoAllaFinale #ForzaJuve
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahah lol! Mabuluda wengine nomaaa, nikaona isiwe tabu, burudani ya soka ikianza kuwa kama jukwaa la siasa starehe yote inaondoka. Sawa Mkuu umesikika.

Teh teh, hapa sijaona mwanasiasa au siwajui kwa kweli, maana huwa sikanyagi kwenye jukwaa la siasa, hapa sportisis (kama Masanja) kwa kwenda mbefele
Leta maphotos sasa
 
Kwenye michezo heshima ni muhimu sana lakini don't show too much of it utashindwa kuwa mshindani mzuri.
Kwa hiyo kama unataka kuujaza huu uzi kwa mbwembwe, bakshasha, madongo, tambo, vioja na vibwenzo unakaribishwa sana
Waalike pia na 'mashosti' wote wa JF wanaopenda michezo kama BelindaJacob na Maria Roza

#FinoAllaFinale #ForzaJuve

Hahahaha!! Nitakuja kama kawaida ila mziki wa humu ni mzito kwelikweli, kwa mbali hata nami naanza kuyaogopa mabuluda ila yatatulia tu mbele ya Barca.... Lol
 
Last edited by a moderator:
Mourinho naona msham-beba Dybala, BONGE YA SIGNING man,

Kweli wakongwe mmerudi Aisee!!

Congrats man..
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mi Niko kwa baba Ancelotti. Utajuta kukutana Na baba. Hao kina Messi, Neymar Na Suarez mwisho wao ni kwa Munich lkn sio kwa Ramos au Velain.

Nakuja Na Asprin
Mkuu nilikuwa kwenye kilele cha furaha, furaha ikaleta msala home. Ngoja nimelizane na bibi yenu then tukutane Berlin.

Nisalimie everlenk ukimwona.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilikuwa kwenye kilele cha furaha, furaha ikaleta msala home. Ngoja nimelizane na bibi yenu then tukutane Berlin.

Nisalimie everlenk ukimwona.

Nimesalimika wangu .....jana Shem langu hata hujanifanyia poa nilikutafuta sana humu tugonge cheers lakini wapi?......... Mhh!! Kwa matukio sikuwezi utafikiri matukio ya wiki ITV...lol
 
Last edited by a moderator:
Hongereni Juventus, akina Mourinho, juve2012 kwa kufika finali, ila mimi ninakauchokozi tu hapa kwenu

Je Antonio Conte was your worst enemy?????? Kwa misimu mi3 mfululizo akiwa na timu hii hii amekuwa akiishia makundi mpaka baadhi ya mashabiki wengine wakaanza kusema labda mnanunua mechi ndo maana mlikuwa na shinda Escudeto

Je Allegri ni kocha bora na mwenye mbinu nyingi kuliko Conte???? Maana kwenye hii timu kama kuna mtu amemuongeza labda ni mmoja au wawili the rest ni player ambao Conte alikuwa nao na alifail kwenye european football.

Je Conte alikuwa right kuquit baada ya kupewa tu-hela kiduchu kwa ajili ya usajili ambapo asilimia kubwa iliingishia kwa Morata ???????

Kwangu, Allegri ni manager bora kuliko Conte ambaye alikuwa hana experience na european games kabisa na mngeendelea ku-mark time kwenye CL na Europa kama Brendan Rogers anayo-mark time epl
 
Back
Top Bottom